hapo pia hata mimi nimeshangaa, na hawa wahindi wamezidi ulanguzi.. sijui kama kuna duka hapa bongo linalouza hizi corning gorilla glass lakini kama lipo nitatafuta kioo mwenyewe na kukipeleka kwa fundi hata kama itachukua muda mrefu atleast nitakua nimesave a lot of cost...
simu imenunuliwa 3 weeks ago, lkn kuhusu warraty na uwepo wa ADH kwenye warranty sina uhakika.. nimewasiliana na midcom nokia care wameniambia itanigharimu 230k bado natafuta alternative nyingine ya haraka zaidi kuliko ebay.. kwani huyo fundi Sele anapatikana wapi hapo posta?
Nimepatwa na msiba wa kaLumia kangu, kioo kimepasuka natafuta sehemu ninapoweza kuipeleka ikarekebishwe na pia ningependa kupata na makadirio ya gharama zake, nipo Dar Es Salaam.
nadhani hapo tatizo litakua ni output ya charger yako, mimi pia iliwahi kunitokea hivo kwenye toshiba satelite e225 nikabadilisha charger to and everythng is alright.
Jamani kila nikichomeka drive yoyote ile kwenye computer yangu iwe ni flash, memo. card, hdd na hata modem nakuta folders zote zilizo kwenye drive husika zimebadilika na kuwa shortcuts.
Tatizo hili linatokea pia nikichomeka hardware kama mouse na printer nnakuta hazifunction vizuri kwa maana...
ahsante mkuu kwa maelezo yako mazuri, nigependa kujua zaidi,
1.je ili kujiregister paypal ninatkiwa kuwa na kiasi gani cha fedha kama minimum requirement kwenye account yangu?
2.kwa sababu payments nyingi nlizoona za paypal zinatumia currency ya USD ($) na huku kwenye bank account yangu...
:help:
Habari zenu wadau, katika matumizi yagnu ya internet nimekuwa nikiingia kwenye websites mbalimbali za uuzaji wa bidhaa na kutoa huduma (mfano: amazon, ebay, ebooks e.t.c) ambazo zinahitaji malipo ya bidhaa hizo yafanywe kupitia PayPal account. Naomba msaada wa kujuzwa zaidi kuhusu hii...
WAKATI MWINGINE DALADALA
INARAHA ZAKE,KWA WALE WENYE
MAGARI NA AMBAO HAMPANDI
DALADALA...HIVI NDO VIOJA
TUNAVYOPATA WENZENU
BARABARANI! Mlokole: "Nyimbo gani
mnapiga?!? Wekeni
nyimbo za Yesu.."
Konda: "Vipi wewe, Yesu
... bado hajatoa album..."
******************************** Abiria...
syllabus inatusumbua zaidi sisi form 5 kwa sababu walimu inaonekana kuwashinda na ukiomba msaada kwa form 6 wanakufundisha vitu ambavyo havipo kwenye syllabus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.