Ni vyema watu wakafahamu kwamba kwenye maritime law kuna uhuru wa meli/tanker kujisajili na kupepea bendera ya nchi yeyote.Liberia,Philippines na Panama ni katika nchi zinazoongoza kusajili meli nyingi sana na wanapata mamia ya mamilioni ya dola kutokana na ada za kila mwaka zinazolipwa na meli...
kweli inategemeana na m2 na hisia ulizonazo kwake maana kunawengne hata ukisikia sauti yake ama akikucall 2 bax jamaa anacmama so m nasema n hali 2 ya m2 kwa mwenza wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.