Recent content by AKRASIA

  1. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Apumzike kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Apumzike kwa amani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Sisi huku kwetu Chato mgao ni Kila siku Sent using Jamii Forums mobile app
  4. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Siku za nyuma nilikuwa siamini kama magonjwa mengine ni roho za shetani lakini baada ya kuamini neno la Mungu nimeona maajabu sana swala la msingi amini mwanao akiombewa atapona maana hilo ni tatizo dogo kwa Mungu ila usifanye kosa ukaenda kwa sangoma kupiga ramli Sent using Jamii Forums mobile app
  5. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Uchochezi ya Zitto Kabwe yaahirishwa hadi tarehe 29 Jan 2019 kwa ajili ya kusikilizwa

    Amechochea nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri katika mjadala wa wazi juu ya muswada wa vyama vya siasa katika ukumbi wa Kisenga Hall, LAPF Tower

    Badala ya kujadili mswaada unamjadili fatuma una akili timamu kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

    Kwani ule mradi wetu wa umeme wa gas umeishia wapi
  8. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya mtumba

    Kwanza fanya utafiti ujue uwezo wa kununua wa wateja unao walenga hii itakupa mwanga wa kujua unune viatu vya Aina gani na kwa bei gani. Mimi nimewahi kufanya hii biashara lakini nilifilisika mara moja mil 2 yangu ikapotea hivi hivi ila nilichojifunza ni kwamba sikufanya utafiti wa kutosha...
  9. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Nchi ipo salama, asitokee mtu akataka kuonesha wawekezaji kwamba nchini hakuna amani na usalama

    Mpuuzi sana huyu Lugola kama unaweza kumuamrisha IGP atafute mbwa ndani ya saa 24 anashindwa nini kutoa amri kama hiyo kwa tukio linalohusu binadamu
  10. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Tukio la kutekwa kwa Mo Dewji: Maelezo ya shuhuda (dereva wa Uber) na kamanda Mambosasa mbona kama yanatofautiana?

    Kwa nini umechagua kuwa mpumbavu kiasi hiki
  11. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Kitu ambacho kinanipa shida mpaka Sasa hivi ni zip code mjuvi wa hili atujuze
  12. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Geita: Kumbe Ujenzi wa bandari ya Chato unagharimu Bilioni 4.128

    5. Hospital ya Rufaa 6.Ktuo cha polisi cha kanda ya ziwa 7 chuo cha beta 8. Sisi 9......
  13. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Kikwete alikuwa anatumia uchawi gani!? Maana kodi alikuwa hakusanyi lakini aliweza kupandisha mishahara wafanyakazi

    Mifuko gani ilikuwa hoi wakati tulikuwa tunalipwa hadi fao la kujitoa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Wapendwa habari za jioni? Baada ya mizunguko yangu ya Leo nimepata wazo la kununua bidhaa mtandaoni. Lakini wakati naendelea kutafakri nikagundua sijui chochote kuhusu hili, wakati naendelea kuwaza zaidi nikakumbuka ipo JF na ninaweza kupata msaada huku. Swala la msingi ninaomba kufahamishwa...
  15. AKRASIA

    JamiiForums Tanzania William Malecela kupost nyaraka za ofisi ya mkuu wa Mkoa kwenye mitandao ya kijamii kinaendana na kiapo cha usiri alichoapa Mkuu wa Mkoa?

    Makonda jitafakari upya Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom