Raisi aliposema, asiyetaka mshahara huu aache kazi, Hivi madaktari walishindwa kujibu kwa kusema "sisi madai yetu si hayo tu ni pamoja na vitendea kazi, kwa ajili ya wananchi na taaluma yetu, kwa hiyo haturudi!" Nilifikiri hili neno lingemtosha Raisi, mawaziri wake na wananchi kwa ujumla.