Recent content by AKILImuchknow

  1. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    halafu eti kwa miaka 8 visigara 6 tu anajiita mvutaji mzuri!....dah
  2. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

    onesha hata chembe ya shukrani mkuu...jamaa kasema ameamua kujitolea bila malipo!...hayo mengine yako
  3. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Nitajie Uzito na Urefu wako ili nikwambie Hali yako ya Lishe

    bwahahahahahahahaha.....
  4. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya ubora wa bangi

    dah mwana umenikumbusha mbali kinyama!....Lost Boyz walipotimba bongo walipewa kitu cha Malawi afu mixer kama hyo ila ya ma.vi ya ng'ombe!.....puff kunya,puff kujamba!!...zingine zote famfa tu!
  5. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

    Dah so sad!....Return If Possible,Geez man!
  6. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    jibu moja la akili sana hili mkuu Chinga One....afu ukimuona Paula kilaki mwambie dah heshima zake mingi sana!! Mi ushauri wangu kwa sasa huu uzi uwe sticky!
  7. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    oooooooh!.. Chinga One vp tena,mbona wamvutia chobingo huyo mtoto?!! Mrembo by Nature kama vp twenzetu tukawachungulie!
  8. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    bhhaaaaaa kwani kuna ntu anokudai na weweeee!
  9. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    mbona ninyi wenyewe kwa wenyewe mnambwanda kusanuana nani ni nani?mnaishia kutaja majina ya wenzenu tu!...kama vipi nendeni chemba...,sio kesi! cc: Sizinga queen of sheba Chinga One Madame B geniveros Kim nana
  10. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania NMB Idara ya mikopo Rushwa imekithiri

    We pwapwasa acha kuchafua majina ya watu kidwanzi!hiyo 25000 hukuombwa na ndio mana umeshindwa sema sababu ulizokuwa unapewa hadi ukafikiria unazungushwa sana na kwamba wote ni walewale wanaotaka rushwa. Pili,mikopo ya biashara na ya watumishi inashughulikiwa na maafisa mikopo tofauti,onesha...
  11. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

    Nimejisikia fresh sana kwa huu uzi,mana nakumbuka miaka ileeeeee tulikuwa hatutukaniwi mama zetu kama sasa.,tulikuwa tunaambiwa "ndio mana Mmakonde!"..,baaaas!lilikuwa tusi tosha kukufanya ujisikie vibaya sana!! Mtwara kucheelee!!.....kila munu ave na kwao,bhaaaaaa!!
  12. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

  13. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Saleh Jabir, Diplomatz, Nigga 1 & mambo ya 1990's

    hahahahahaha.... mamakibunju huwezi ukawa demu!....ni hisia tu, usinimaind!
  14. AKILImuchknow

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s3 used wanted

    Ntakupatia S3 Galaxy mini, tutafutane kesho panapo majaaliwa yake Allah
Back
Top Bottom