Afadhali watusaidie wananchi kusema kabla ya kufika mahala pa kuchoka na kuanza kuingia barabarani na mabango.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Hao ni wawakilishi wa wananchi.
Baada ya bungee kuwa mkusanyiko wa machawa na raba stempu?’!
Sasa kuachana hivi hivi ikiwa Mwanaume amekugaramia vitu vingi vya thamani hawezi kukubali umcheke ujinga,
Somo hapa ni wanawake waache tamaa na kujiona wajanja kupenda kuhongwa na kutaka mali za wanaume Halafu hamtaki kuwa watumwa wa hao wanaume.
Hutaki kutawaliwa na Mwanaume usile Hela żake...
Wanaume wengi uwapige
Mizinga Halafu utake kuwazingua hawakubali.
Wanaume wengine Hela zao wanazipata kwa tabu sana Halafu mwanamke unakuwa na tamaa ya pesa Halafu hutaki kufanya snavyotaka Mwanaume?! Lazima akunyooshe [emoji14][emoji14]
Ukitanguliza upendo inakuwa na wepesi wala huoni kuelemewa wala kung’ang’ana ktk kuishi nae.
Imeandikwa: “ Upendo husitiri wingi wa makosa”
Ukimpenda mtu kwa penzi la kiMungu hutaona
Mabaya wala madhaifu yake bali utakuwa unaona mazuri yake tu na kuchukuliana nae kirahisi.
Kwani amefanyaje yeye?
Kuna vifo vya kujizuru lakini kwa njia ya kujichinja ni ngumu kuamini kuwa mtu ajichinje mwenyewe hadi kukata roho?
Labda watuambie wenye kujua zaidi.
Sababu kujichinja sio kwa kutokea mara moja paaa kama kujipiga risasi au kamba, au kujirusha toka juu ya ghorofa n.k...
Kwa hiyo huamini kwamba Biblia ni Maandiko Matakatifu ya Mwenyezi Mungu?
Kumbe tunajadiliana na Pagan?
Sasa kama ni hivyo haina haja ya kuendelea na majadiliano iwapo kumbe kwenye msingi wa imani hupo.
Kama huamini hivyo vitabu vitakatifu kuwa ni maneno ya Mungu Basi hiyo divinity yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.