Hivi mtu imethibitika kaiba tena baada ya uchunguzi wa muda... Adhabu ni kusimamishwa kazi au kuwekwa ndani?
Hizi Bil 3.6 serikali inarecover vipi na mwizi yuko hapo, je kusimamishwa kazi inatosha?
Umesema vizuri sana MK254
Watu wapo wenye skills vzuri tu ila Industry haiwapi wazawa thamani wanayostahili.
Unakuta upo kwenye kampuni nafasi inatokea unanyimwa anakuja ngozi nyeupe anapewa hyo nafasi na Bado wewe ndio unatakiwa kumtrain kazi halafu huyo ndo anakua boss wako.
Hili jambo lina...
Field ya IT ni pana sana, ndani yake kuna Matawi mengi ya taaluma;
- Network
- Database
- Programming
- Web Developer (Front End & Back End Developer)
- Cyber Security
So napata shida kulijibu swali lako kwa jinsi ulivyojumuisha vyote kwa pamoja, labda ungefafanua ni nyanja ipi hasa ya IT..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.