Hawa walikuwa wanawawakilisha Watanzania walio wengi walioshindwa kuuelewa ama kupata sehemu sahihi ya tafsiri ya aidha ni mkataba ama sio mkataba! Na mahakama ilitoa tafsiri hiyo kuwa ni Mkataba na sio Maridhiano. Kwa maana hiyo nilitarajia kuona hawa Mawakili na wenzao wakipongezwa kwa...
Kibamba buana. Ooh CASK hawajalipia leseni yao kwa miaka miwili. Hii ni nini? Leseni imelipiwa 30 June 2022 na imemalizika muda wake 29 June 2023. Kwahiyo kutoka tarehe 30 June 2023 hadi leo ni miaka miwili? Hata miezi miwili haijaisha yeye anasema ni miaka miwili. Shame.!
Halafu huyu eti ndio...
Hellow guys
naomba usaidizi kwa aliye na group la kidato cha sita private candet arts combination's especially HGK OR HGL wanaotaraji kufanya mtihani mwakani
please tuwasiliane tafadhari kama upo kwenye group lolote lile
Unaweza ukawa n mwanamke flan ivi mwenye mvuto na mpambanaji lakin kila siku unaachika bila sababu za msingi.
Umeshawahi kujiuliza sababu n nn,au ndio unajiona huna bahati.
Mwanaume anaweza kukuacha kwa sababu hizi .
1. HUJIAMINI
Unaweza ukajiona wakaiwaida alafu unakuja kutongozwa na mwanaume...
Kama utakuwa miongoni mwa watu ambao hujisikia upweke kupita kiasi katika mahusiano yao basi ujumbe huu unaweza kukusaidia.
Leo tuangalie namna ya kukabiliana na mtu ambaye unampenda sana lakini anaonyesha kukupuuza sana kila wakati ukionyesha kumhitaji.
Kabla ya kujua njia hizo tuangalie sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.