Recent content by Akidi

  1. Akidi

    Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

    Wakianza kulima tena mtauliza. Shule wameenda kulima au kusoma?
  2. Akidi

    BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Mkuu mbona kama unalia? Pole sana🤣🤣
  3. Akidi

    Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    Ndiyo kura hizo.Sema hujui tu
  4. Akidi

    Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    Umelazimishwa kufungua uzi?
  5. Akidi

    Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    BET wameruhusu watu waanze kupiga kira Instagram kwa kulike picha ya mtu husika. Picha ya Diamond Platnumz ina zaidi ya likes elfu saba wakati Burna Boy yupo kwenye mia saba.
  6. Akidi

    BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Kwani kuna mtu kabisha?
  7. Akidi

    BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Nini sasa??kwani sijaona?
  8. Akidi

    BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Hapana ni ya kwako mkuu
  9. Akidi

    BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi. BET wenyewe hawana hata muda huo
  10. Akidi

    Wapenzi wa SAD song or EMOTIONAL songs tukutane hapa

    Wakikujibu nitag
Back
Top Bottom