Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 930
- 1,408
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA, BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?
Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao