Recent content by akatiwanya

  1. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

    Ila Dr. Samia Suluhu Hasani kwakweli anapendwa aise, Magufuli akasome aise.
  2. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Kwa mafuriko haya kurusha Taulo lazima.
  3. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania Dudubaya adai Diamond toka atoke nyumbani kwa P Diddy akili zake hazipo sawa

    Maisha yamempiga anatafuta huruma kwa MACHADEMA. fanyeni kazi.
  4. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania GE2025 TRC Mna wajibu wa kuueleza Umma kiasi mlicholipwa na CCM kusafirisha lundo la wafuasi wao kwenda Morogoro kujaza Uwanja

    Cku nyingine tuoneshe video na sio hii ya kuchukua kipande na kipande Kisha ukaunga.
  5. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

    Maneno tupu bila picture ya wasombwaji ni Uzushi.
  6. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

    Hii inaitwa nakheri lawama kuliko fedheha. Hata Simba walifanya hii tr 08/03/2025.
  7. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Kwanini Rais aliyepo Madarakani anafanya kampeni wakati bado Yuko Ikulu?

    Kaeni kwa kutulia mmeshatupa Taulo MACHADEMA.
  8. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli itaitazama vipi familia ya Kikwete, Membe & Rostam?

    Kwa vile Membe amekufa ndie kamtaja kinagaubaga, hao wengine mbona hakuwataja kama marehemu Membe!?, na angemtaja kipindi yuko hai, kingemkuta kama kilichokamkuta Musiba.
  9. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania Hatimae Jux ni Baba Rekeem

    Ule Ule msemo wa kejeri wa mwanaume asiyebahatika kupata mtoto baada ya kudeti na mdada kwa muda mrefu kuitwa Jux nazani Sasa umejifia rasmi
Back
Top Bottom