Hatimae Jux ni Baba Rekeem

Hatimae Jux ni Baba Rekeem

Ule
Msanii wa wa kidigitali wa muziki wa bongo fleva Juma Jux masaa machache yaliyopita ameshare kwenye account yake ya instagram picha katika matukio zinazoonyesha yuko hospitali inakosemekana ni nchini Canada akiwa na mke wake na mtoto wao ambae amejifungua siku ya jana

Mke wa Juma Jux Priscilla kutoka Niegeria amemjengea heshima Juma Jux kwa kumzalia mtoto wa kiume ambae wamempa jina la Rakeem Mkambala

View attachment 3452347
Ule msemo wa kejeri wa mwanaume asiyebahatika kupata mtoto baada ya kudeti na mdada kwa muda mrefu kuitwa Jux nazani Sasa umejifia rasmi
 
Nimejifunza kuwa tuwe na subra,, tusisikilize maneno ya watu,,

Hao hao wanaompa hongera ndo walikuwa wa kwanza... Kumpiga vita

Hongera prisy na Jux...
Dah jamaa kachelewa muvi nyingi sana yule sista mchoma mishikaki na mihogo Ali vimba tumbo akamdanganya jamaa ana ujauzito jamaa kafurahi BADAE ikasemekana ilikua mchongo wa mtoto wa town kwenye harakati za uchunaji ilimuumiza sana jamaa, veemoney alidai jamaa Hana nguvu za kiume binafsi walimdiss kuoa nje halaf demu wa kawaida ila hawakujia jamaa kawachoka Malaya wa dar na tamthilia zao

Fullstop, kwishaaa
 
Msanii wa wa kidigitali wa muziki wa bongo fleva Juma Jux masaa machache yaliyopita ameshare kwenye account yake ya instagram picha katika matukio zinazoonyesha yuko hospitali inakosemekana ni nchini Canada akiwa na mke wake na mtoto wao ambae amejifungua siku ya jana

Mke wa Juma Jux Priscilla kutoka Niegeria amemjengea heshima Juma Jux kwa kumzalia mtoto wa kiume ambae wamempa jina la Rakeem Mkambala

View attachment 3452347
Wameshamfungulia acc insta ?
 
Jux yuko 36 bado kijana sana ,akiamua hapo anawapanga mpaka miaka 45 ana watoto hata wanne ...Mlikuwa mnampa sana presh kijana wa watu.
Mademu aliokuwa anakutana nao ni mapaka shume ni kama manara asinge kua na mtoto hao mademu aliokutana nao ni wafanya biashara

Fullstop, kwishaaa
 
Ukitaka kujua wanaume hawapendani.. wewe muongelee mwanaume mwenzao kwa jambo jema.
Wee utaona comment zao, sasa mtu kapata mtoto badala mumpongeze ndio kwanza mtu anaropoka eti jux hazalishi.

Kwa hiyo akiwa faragha na mkewe ulikuwepooo
Mashoga utawaweza ndugu YANGU wao washa zoea kupandwa wamebaki na wivuu tu

Fullstop, kwishaaaa
 
Ukitaka kujua wanaume hawapendani.. wewe muongelee mwanaume mwenzao kwa jambo jema.
Wee utaona comment zao, sasa mtu kapata mtoto badala mumpongeze ndio kwanza mtu anaropoka eti jux hazalishi.

Kwa hiyo akiwa faragha na mkewe ulikuwepooo

Hao ni wale LOOSERS, Washa give up na maisha na wana wish negativity to every one.

Mwanaume hanaga shida ya Uzazi, Tunaweza kutoa Mbegu mpaka kwenye pvmb ili mtoto azaliwe
 
Back
Top Bottom