HARUFU KALI YA TUMBAKU KWA WAKAZI NA WAPITA NJIA ENEO LA KIWANDA/OFISI ZA SIGARA
Eneo hilo lina harufu kali sana na nina uhakika kuwa ina madhara kwa wananchi na zaidi wale wasiojihusisha kabisa na kiwanda hiko kama wapita njia. Je serikali ina lifahamu hilo na ina mpango gani? mimi huwa napita...
Salaaam
Tuache kuzungumzia udini, hili kwa njia zote ni la kisiasa na hapo ni kwamba hawataki Muungano ujadiliwe tena. Kwa Wakristo wote ushauri wangu ni kupiga goti na kuendelea na sala, wakati huu ni mgumu sana na kwa akili zetu hatutaweza.
Mungu yupo kwa ajili yetu
Simtetei sana Mheshimiwa ila ningependa kufahamu wanakawe wanataka akachukue mawazo yao kuhusu bajeti,mawazo yapi hayo? wakati hata wao hawapeleki mawazo yoyote zaidi ya kupitisha na kutopitisha kilichowasilishwa na serikali. nakushauri kama una mawazo mtafute waziri husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.