Recent content by AK-47

 1. AK-47

  Yupo wapi Ezekiel Malongo aliyekuwa RTD kipindi hicho?

  Taarifa nilizozipata leo Ezekiel Malongo amefariki dunia hospitali ya Mwananyamala kwa ugonjwa wa Malaria.
 2. AK-47

  Kisima mpaka mita 130 kwa 8m tu

  Okay shukran bei ya mita 120 inakuwa ngapi vile ?
 3. AK-47

  Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

  Akili ndogo inapoongoza akili kubwa matokeo yake ndio hayo ya kuwaza ushirikina tu
 4. AK-47

  Kisima mpaka mita 130 kwa 8m tu

  Mkuu evigt Dsm nyumba nyingi walizochimba visima ambazo nazifahamu mimi maji yake ni ya chumvi, Je, kunauwezekano wa kupata maji yasiyonachumvi ukichimba kisima Dar es Salaam ?. Na kwa uzoefu wako eneo la Makongo Juu karibu na Mto Mbezi ili upate hayo maji inabidi uchimbe mita ngapi ?
 5. AK-47

  Kumbikumbi

  Flying termites are just common termites that are in their winged life stage. This phase is part of their reproduction cycle. While they are breeding adults at this stage and don’t cause significant damage themselves, they create thousands of termite wood-chewing offspring. Flying termites seek...
 6. AK-47

  Kinachojiri kutoka Ikulu ya Tanzania Dar es Salaam

  Ikulu kutoa bahasha itakuwa miujiza !!
 7. AK-47

  Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

  Nasikia tayari mawaziri kadhaa nao wameshaingia na manaibu wao, Prof. Muhongo ndani ya Diamond Jubilee
 8. AK-47

  Kikwete atunukiwa PhD nyingine Mandela University - Arusha

  TBC wamesema hii ni Phd ya tisa kupewa JK
 9. AK-47

  Haya Matunda Mh!

 10. AK-47

  Muhammed Ali wa Jicho Pevu: A true investigation reporter

  Mohammed Ali ni mtu jasiri katika kizazi cha uandishi cha karne hii katika nchi za Afrika Mashariki na pengine Afrika nzima kwa ujumla. Mungu amlinde huyu mja wake.
 11. AK-47

  CRDB ni Moja ya Benki zenye huduma mbovu sana

  Benki zetu ni shida tupu hivyo basi katika kundi la benki zinazotoa huduma mbaya CRDB imo ila inanafuu, ila haina maana CRDB ni bora
 12. AK-47

  Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

  Na sasa anadaiwa kutoka na binti wa Uganda mwenye vijisenti aishie Afrika Kusini aitwae Zarina Hassan almaarufu kama Zari.
 13. AK-47

  Totyota starlet garlet inauzwa kwa tshs 3,800,000 tu

  Mbona plate namba yake inalugha chafu ?
 14. AK-47

  Madam SPIKA: Ningekuwa na uwezo ningependekeza Mwingine afe badala ya Mh. Mgimwa

  Spika wetu atakuwa ameathiriwa na mazungumzo ya vijiweni.
 15. AK-47

  January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

  Vyombo vya habari vinawa-promote wasanii wa Tanzania mno kwa kuandaa matamasha ya ndani, kusaidia uzinduzi wa albamu zao, kupiga na kuonyesha nyimbo zao kwenye TV ndio maana wakawa wanajulikana na kupata mialiko hata nje ya mipaka ya Tanzania....sasa sijui huyu Waziri wa twitter na facebook...
Top Bottom