Recent content by AK 47

  1. AK 47

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Job Ndugai atumia milioni 13 za walalahoi kupanda 1St Class Emirates A380

    mtoa mada sijui alitaka asafiri na helicopter hadi dubai! au ulitaka asafiri kwa ungo
  2. AK 47

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa Aibua Mapya IPTL, asema ni bil 400 na si bil. 306 Zilizochotwa ESCROW!!!!

    alikuwa honeymoon nini huyu mzee ndio kaibuka na matope haya
  3. AK 47

    JamiiForums Tanzania Mauaji Geita: IGP atoa sh10m

    Hizo mnazoongeza angalieni msije kuyashawishi yarudi tena kazini
  4. AK 47

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Serikali (Werema) na Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

    CV ya ngumi!!mi napita tu
  5. AK 47

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Hakuna mgogoro wala ugomvi CCM Mkoa wa Mwanza

    povu la nini hapo nimesibitisha nilichoandika ukiwa mshabiki na mwanachama wa magwanda lazima ujue matusi na lugha chafu kama viongozi wao wanavofanya asante kwa kunisibitishia hilo jifunze kujenga hoja hao unaowashabikia kuongoza tu chama chao systematically tu hawawezi sembuse nchi
  6. AK 47

    JamiiForums Tanzania Kunapojadiliwa wizara zisizo za muungano bungeni

    Posho wanazopata hao wawakilishi wao huku ni sawa na 0% ya rasilimali za zanzibar zinavonyonywa huku zanzibar kwa tanzania ni kama mkoa tu
  7. AK 47

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aishangaa serikali kwa UFISADI na misamaha ya kodi

    Mwigulu phd kaipata lini?
  8. AK 47

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya kwanza Afrika Mashariki kutumia usafiri wa Mabasi Yaendayo Kasi...

    Utasikia tu kutoka kwa magwanda serikali ya kikwete haijafanya kitu
  9. AK 47

    JamiiForums Tanzania Mnyika is the brightest MP in Tanzania

    Hapo ndipo wanaponishangaza hawa mashabiki wa magwanda kwa kushabikia upuuzi kweli Mnyika na maprof!hii hatari kwa akili hizi wataishia kupaona tu magogoni acha elimu iitwe elimu
  10. AK 47

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ni waziri bora wa karne hajawahi tokea na ana CV bora

    Wivu tu huo
  11. AK 47

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa transformer Dar & Shinyanga

    Nadhani walimtolea nje kwa kuwa ana akili kama zako ambaye unaweza kwenda yard na elfu hamsini alaf unataka gari tena bora tanesco walimsahi na kumpa jibu zuri kidogo hana uzoefu nenda kwa chinga uliza shati alaf umwambie una sh mia ndio utajua alikua anastahili jibu gani
  12. AK 47

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa transformer Dar & Shinyanga

    ex tanesco staff na nna jua bei ya transformer na gharama za mafuta yake tena 4 ur information hata hiyo figure kwa transformer kumi mpya ni ndogo kutakuwa na used au repaired hapo punguza ukilaza kwa vitu ambavo hujui
  13. AK 47

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa transformer Dar & Shinyanga

    Hih mada inachangiwa na wamikoani au?jamani tanesco na magari yao yote inamaana huwa hamyaoni hapa kibongo bongo yakiwa yamebeba transformer acheni hizo hizo bei itakuwa inclusive na bei ya transformer yenyewe na mafuta yake
  14. AK 47

    JamiiForums Tanzania Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

    uliwai kusoma kitabu cha soma kwa hatua chekechea tafadhali kirejee tena kwa manufaa yako au zao la shule za kata wewe
  15. AK 47

    JamiiForums Tanzania Membe Aitwa "Rais" Bungeni

    Hata tatu bora kwenye kura za maoni ndani ya ccm haiingii atakuwa kaamua kuchezea kamari hela yake kwenye mchakato
Back
Top Bottom