Asante,nimekuelewa kuhus swala la soft copy,sasa mimi nipo Iringa je inamana hii elfu ishrini nikikutumia itakuwa imekamilisha na gharama za kukisafrisha hadi kinifkie au hiyo ni ya kununua tu? Nisaidie hilo natamani kukipata juma hili.uwe na siku njema
Ndugu je nyie mna utaratibu wa kununua hivi viazi kutoka kwa wakulima wanaonunua mbegu kutoka kwenu? Na iwapo mwanunua kuna mkataba wowote na wakulima hao? Maana naona biashra ni nzuri kwa hesabu hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.