Recent content by ajooo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Endeleeeea kutupa update
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

    Nimekubali watu wanajua kufukunyua maisha ya mtu mpaka akapoteza mwelekeo mtu anaenda kusali makanisa matatu kwa siku moja kweli tutjitahidi jamani tuwe na vyeti
  3. A

    JamiiForums Tanzania Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

    Kozi mm nakukubali ileile
  4. A

    JamiiForums Tanzania Queen Darleen: Naumia Kuishi Bila Mpenzi

    Mimi nahitaji mke so kama inawezekana nitafute au niambie nikutafute
  5. A

    JamiiForums Tanzania Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

    Huyo muulize ashawahi kuwa na Mke au mchumba hapo ndo mtaanzia story we mwambie tuuu akuowe
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Jumapili inawezekana akaenda Kwa gwajima akamjengea kanisa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Duuu kwahio mpaka awepo mhubili ndo barabara inajengwa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Anamjengea barabara mwambieni aje na huku kwetu Barabara ni shida
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna wabunge jipu, basi sisi Ubungo tuna zaidi

    Bunge bado halijaanda kujadili bwana saizi wanawasilisha mipango ndo itajadiliwa sokuwa na subila
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je, Ni msanii gani wa Bongofleva aliyepotea katika muziki unatamani arudi katika muziki?

    Sister p, zay B,alikom, Mr Nice, oten, dogo Hamidu, dogo janja
  11. A

    JamiiForums Tanzania Haipingiki timu hizi tatu za EPL haziwezi pita UEFA 16 bora

    Umeelewa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Haipingiki timu hizi tatu za EPL haziwezi pita UEFA 16 bora

    Mpira Dk 90 kwahio ninauhakika timu uengerza zitatinga finally uefa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Haipingiki timu hizi tatu za EPL haziwezi pita UEFA 16 bora

    Wewe ulisema wakipita sasa Leo umebadilika tena basi Chelsea atschukuwa uefa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Haipingiki timu hizi tatu za EPL haziwezi pita UEFA 16 bora

    Chelsea na asernal zimepita sasa wewe ulie sema upigwe risas vip hapo
  15. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    IPO eatv tujage
Back
Top Bottom