Kama kuna wabunge jipu, basi sisi Ubungo tuna zaidi

Ekyoma

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,177
2,803
Ndugu zangu wana JF kama kuna wabunge majipu basi mbunge wangu wa Ubungo mh Kubenea ni jipu na linaitaji kupasuliwa.

Naamini wana Ubungo mtakubaliana na mimi kuwa kwa miaka hii mitano tumekula shoti kama sio loss.

Ubungo maji kwa wiki yanayoka mara moja wakati mwingine yanaweza yasitoke kabisa, Ubungo imejaa vibaka yani ukisahau jeans yako nje ndo nitolee, Ubungo wafanyabiashara ndogo ndogo wanapata shida, Ubungo barabara za ndani hazipitiki, Ubungo kuna kila aina ya matatizo.

Cha kushangaza tangu tumchague Kubenea sijasikia akiongelea matatizo ya Ubungo zaidi ya kupambana na Zitto , Makonda na wengine katika magazeti yake.

Mbunge huyu ata akichangia bungeni ni pumba tupu Ubungo tumezoea wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja sio huyu Kubenea pamoja na kwamba Mnyika hakufanya makubwa sana ila afadhari yeye alikuwa ni mbunge wa kitaifa zaidi hakuna ubishi wanaubungo kwa Kubenea tumekula loss.
 
Ndugu zangu wana JF kama kuna wabunge majipu basi mbunge wangu wa ubungo mh kubenea ni jipu na linaitaji kupasuliwa.

Naamini wana ubungo mtakubaliana na mimi kua kwa miaka hii mitano tumekula shoti kama sio loss.

Ubungo maji kwa wiki yanayoka mara moja wakati mwingine yanaweza yasitoke kabisa, ubungo imejaa vibaka yani ukisahau jeans yako nje ndo nitolee, ubungo wafanya biashara ndogondogo wanapata shida, ubungo barabara za ndani hazipitiki, ubungo kuna kila aina ya matatizo.

Cha kushangaza tangu tumchague kubenea cjasikia akiongelea matatizo ya ubungo zaidi ya kupambana na zitto , makonda na wengine katika magazeti yake.

Mbunge uyu ata akichangia bungeni ni pumba tupu ubungo tumezoea wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja sio uyu kubenea pamoja na kwamba mnyika hakufanya makubwa sana ila afadhari yeye alikua ni mbunge wa kitaifa zaidi hakuna ubishi wanaubunge kwa kubenea tumekula loss.
ccm imekaa madarakani miaka 55 hata umeme hakuna kubenea miezi miwili subiri kidogo
 
CCM ipo madarakani tangu 1975 hadi 2010 alipoingia Mnyika na yeye amekaa miaka 5 na huyu kubenea hata quarter moja hajamaliza umeanza kelele je hao CCM waliokaa hiyo miaka 35 uliwahi kulalamika? Nafikiri ni vema ukaondoa ujinga ulionao ili ujue haya yote mabovu unayoyaona sasa chanzo ni CCM na si vinginevyo kama wangeyatekeleza hapo awali kusingekuwepo na hicho unachokilalamikia
 
Sasa alalamike nini tena kuhusu CCM wakati tayari wamechagua upinzani tangu 2010 wakiamini kuwa wataona mabadiliko jimboni Ubungo....kumbe mambo ni yale yale tu. Sasa tofauti ya upinzani na CCM kwenye majimbo ipo wapi?
CCM ipo madarakani tangu 1975 hadi 2010 alipoingia Mnyika na yeye amekaa miaka 5 na huyu kubenea hata quarter moja hajamaliza umeanza kelele je hao CCM waliokaa hiyo miaka 35 uliwahi kulalamika? Nafikiri ni vema ukaondoa ujinga ulionao ili ujue haya yote mabovu unayoyaona sasa chanzo ni CCM na si vinginevyo kama wangeyatekeleza hapo awali kusingekuwepo na hicho unachokilalamikia
 
Ndugu zangu wana JF kama kuna wabunge majipu basi mbunge wangu wa Ubungo mh Kubenea ni jipu na linaitaji kupasuliwa.

Naamini wana Ubungo mtakubaliana na mimi kuwa kwa miaka hii mitano tumekula shoti kama sio loss.

Ubungo maji kwa wiki yanayoka mara moja wakati mwingine yanaweza yasitoke kabisa, Ubungo imejaa vibaka yani ukisahau jeans yako nje ndo nitolee, Ubungo wafanyabiashara ndogo ndogo wanapata shida, Ubungo barabara za ndani hazipitiki, Ubungo kuna kila aina ya matatizo.

Cha kushangaza tangu tumchague Kubenea sijasikia akiongelea matatizo ya Ubungo zaidi ya kupambana na Zitto , Makonda na wengine katika magazeti yake.

Mbunge huyu ata akichangia bungeni ni pumba tupu Ubungo tumezoea wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja sio huyu Kubenea pamoja na kwamba Mnyika hakufanya makubwa sana ila afadhari yeye alikuwa ni mbunge wa kitaifa zaidi hakuna ubishi wanaubungo kwa Kubenea tumekula loss.
kubenea elimu ndogo halafu papara. ubungo mumechagua mawio na mwanahalisi magazeti ya kuzungusha maneno na uongo kuliko ukweli.
 
imekula kwenu..........ila mwanzo mgumu atanyoooka tu ,jmn hata vifungu mpaka asomewe na tundu kusoma hujui hata picha huoni?
 
Hahaaa lumumba wote wamekuja huku kwaajili ya kubenea ....nashangaa sehem kuw
bwa ya dar es salam haina majib,,,sio huko tu huku mtama ni balaaa ...hata kwa wiki mara moja hakuna tunasafiri umbli mrefubkuchota maji wakati Mbunge wetu Nape yupo hiko Dar....
 
Hahaaa lumumba wote wamekuja huku kwaajili ya kubenea ....nashangaa sehem kuw
bwa ya dar es salam haina majib,,,sio huko tu huku mtama ni balaaa ...hata kwa wiki mara moja hakuna tunasafiri umbli mrefubkuchota maji wakati Mbunge wetu Nape yupo huko Dar....
 
Ndugu zangu wana JF kama kuna wabunge majipu basi mbunge wangu wa Ubungo mh Kubenea ni jipu na linaitaji kupasuliwa.

Naamini wana Ubungo mtakubaliana na mimi kuwa kwa miaka hii mitano tumekula shoti kama sio loss.

Ubungo maji kwa wiki yanayoka mara moja wakati mwingine yanaweza yasitoke kabisa, Ubungo imejaa vibaka yani ukisahau jeans yako nje ndo nitolee, Ubungo wafanyabiashara ndogo ndogo wanapata shida, Ubungo barabara za ndani hazipitiki, Ubungo kuna kila aina ya matatizo.

Cha kushangaza tangu tumchague Kubenea sijasikia akiongelea matatizo ya Ubungo zaidi ya kupambana na Zitto , Makonda na wengine katika magazeti yake.

Mbunge huyu ata akichangia bungeni ni pumba tupu Ubungo tumezoea wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja sio huyu Kubenea pamoja na kwamba Mnyika hakufanya makubwa sana ila afadhari yeye alikuwa ni mbunge wa kitaifa zaidi hakuna ubishi wanaubungo kwa Kubenea tumekula loss.
Wewe si ulimchagua Didas Masabuli
 
Back
Top Bottom