Recent content by Ajol

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Bashe kaonyesha uwezo mkubwa sana katika hili bunge mkuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Kabisa.... Kaonyesha uwezo mkubwa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Kwa hili nitamuunga mkono Rais Magufuli.... Mhagama na Ummy uwezo wao mdogo.... January kabaki kuuza sura na kutongoza mademu tu.... Nami nimeshashuhudia pale Protea akiwa na wafanyabiashara Haroon na Gonzaga wakipanga mipango ya kumhujumu Rais... Ni jumamosi iliyopita baada ya kutoka kwenye...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Chuki huziba ufahamu!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Inawezekana alitolewa nje enzi hizo... Hivyo kwa sasa ana chuki ya hatari...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Ana wivu zaidi ya Gadner
  7. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Sio mbaya na yeye akikazia.... Tumuunge mkono
  8. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Wewe mbona hujawahi kuipata?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Hakuna aliyetoa hoja hii Mkuu.... Penye maslahi ya nchi tusimame pamoja...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Ni zaidi ya wakina Bulembo 200. Ni zaidi ya Shinza 75. Ni zaidi ya Mboni 90...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Acha wivu wewe mwanaume....
  12. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza: Mikataba ya migodini ipitiwe upya

    Huyu dada ni jembe... Ni Hillary Clinton in Tz
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge Peneza (CHADEMA): Sioni jipya bajeti ya Wizara ya Afya

    * AITAKA SERIKALI KUCHUKUA HATUA MAHUSUSI KUSHUGHULIKIA HALI YA AFYA YA WANANCHI GEITA Katika mchango wake jana bungeni Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Geita kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Upendo Peneza katoa changamoto lukuki kwa serikali kwa kushindwa kutatua matatizo katika wizara ya afya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

    Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi.. Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mh. William Mganga Ngeleja

    Tutaelewana Siku moja
Back
Top Bottom