mbavu zangu jamanMkataba mmoja tu wa Lugumu, JPM alikuwa anatuomba tunapokuwa majumbani mwetu tuwe tunamuombea
Sasa hiyo mikataba ya madini ndio atatuambia tuamie kabisa ikulu ili tumuombee vizuri.
mbavu zangu jamanMkataba mmoja tu wa Lugumu, JPM alikuwa anatuomba tunapokuwa majumbani mwetu tuwe tunamuombea
Sasa hiyo mikataba ya madini ndio atatuambia tuamie kabisa ikulu ili tumuombee vizuri.
hii hoja umeisikia leo? ipo toka enzi za mkapa nadhaniHakuna aliyetoa hoja hii Mkuu.... Penye maslahi ya nchi tusimame pamoja...
ahahaaa toka lowassa akiwa waziri mkuu waambie kipindi wanamuita fisadiZitto kaishasema hayo maneno toka huyu binti yupo Maisha Plus kuna jipya gani hapo lakusifiwa.
Huyu naye anavyotafuta popularity kwa nguvu.
Zitto kaishasema hayo maneno toka huyu binti yupo Maisha Plus kuna jipya gani hapo lakusifiwa.
Mkuu una wivu,!!acheni kumpa kiki huyo dada kwani ni yeye tu kaongea leo?
andika yote yaliyoongelewa bungeni kama vipi
Mkuu una wivu,!!
sina wivu kweli .mnamshobokea sana sijaona tu jipya mkuuMkuu una wivu,!!
Hahahahaaa!!Ana wivu zaidi ya Gadner
Zitto kaishasema hayo maneno toka huyu binti yupo Maisha Plus kuna jipya gani hapo lakusifiwa.
Mkuu, Peneza namba nyingnesina wivu kweli .mnamshobokea sana sijaona tu jipya mkuu
acheni kumpa kiki huyo dada kwani ni yeye tu kaongea leo?
andika yote yaliyoongelewa bungeni kama vipi
Wivu mwingine mbaya sana
sina wivu kweli .mnamshobokea sana sijaona tu jipya mkuu
Inawezekana alitolewa nje enzi hizo... Hivyo kwa sasa ana chuki ya hatari...
Huyu dada ni jembe... Ni Hillary Clinton in Tz