Ndio mkuu wa wilaya ya Iringahivi kuna mwanasiasa kijana mwenye CV kama hii?
Siasa za jimboni kwake zimempa changamoto sana. Kuna mashaka kama alishinda kihalali. Watu wengi hawamtaki. Siasa za kitaifa hajulikani sana siku hizi. Heshma yake kwa wengi wenye akili imeshuka hasa baada ya kutafuna hela ya Escrow. Huu wizi ni laana kwa wote walioitafuna akiwapo mama wa kiasi cha mboga. Pamoja na rekodi yake ya Dunia na Uprofesa wake, bibi yule wa kiasi cha mboga sasa hivi hana tofauti na Mpoki au Joti, akisimama kila mtu hata Ritz anamdharau kwa kuwa ni JIZI la fedha za umma. Na Ngeleja heshima yake kwenye jamii imeshuka sanaKumbuka NGELEJA ni MBUNGE wa Jimbo la Sengerema, anaelekea kutumiza miaka 15 Jimboni. Sasa unasema kaisha kisiasa, hebu tufafanulie. Kaisha kivipi?