Kila la kheri kamanda mbowe ila huu uzinduzi uangalie hili suala kupita kila wilaya maana tunasikia kila siku mbeya lkn mbeya ina wilaya zaidi ya nane tunaomba sana hili suala liangaliwe upya
Utekelezaji unafaa sana kuliko siasa itakuwa njema sana kama walimu watapata haki yao leo maana shule nyingi hazina waalimu hususani vijijini lkn tujiulize kwanini toka mwaka jana ni siasa tu?ELIMU inahitaji utekelezaji tukitaka mabadiliko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.