Recent content by ajam ally

  1. A

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

    Pole jamaangu, same case kwa walio appeal hakuna majibu ya aina yoyote yaliyotoka mpaka sasa. watu wamesubiria mpaka wamekata tamaa.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Somo la Physics, Chemistry Mazengo Secondary

    Mutakyamirwa, na mzee mwenyewe mgohamwende, wapi shendu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wenye taarifa za matokeo ya walio appeal atujuze

    Ni muda mrefu umepita sasa, hakuna mrejesho wowote toka kwao, ilisemekana ni miezi mitatu majibu ila ni zaid ya miez mitatu sasa hakuna jipya tunaingiza namba kila siku kwny ile database ya olas lakini jibu ni moja tuuuuu. Wahusika jaribuni kulifanyia uharaka hili swala maana tuna uhitaji mkubwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wenye taarifa za matokeo ya walio appeal atujuze

    Asante kwa taarifa ndugu yangu mpambalachuma,
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wenye taarifa za matokeo ya walio appeal atujuze

    Wakuu wa kaya Habari za siku nyingi, hakika wote mnaendelea vizuri na majukumu yenu. Baada ya pilikapilika za kipindi kile cha kufuatilia selection zetu pale udsm majina yetu yalikua pending mpaka tukabadilishiwa vyuo. Sasa vyuoni tulikuja utaratibu wa mkopo ukawa mgumu baadhi walipata na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nacte ni nini tatizo ndugu zangu?

    Nilichaguliwa udsm nikatakiwa nisubiri uthibitisho, kwa bahati mbaya jina likawa rejected siku za mwisho kabisa baada ya kwenda ud zaid ya mara 3 kufuatilia, na vigezo vilivofanya niwe rejected bado havijaniingia akilini zaidi nilichoona ni urasimu wa hali ya juu. Sikuchoka nikarudi tena nacte...
  7. A

    JamiiForums Tanzania UDSM imeachia round 4 & 5

    nakupigia kaka mkubwa hupokei namba 0785-_____350
  8. A

    JamiiForums Tanzania Selection UDSM Kunani, NACTE hawajui?

    Profile yako wamekuandikiaje zee seeker? unaweza weka screenshot japo kaujumbe tuu?
  9. A

    JamiiForums Tanzania UDSM imeachia round 4 & 5

    ebana mshikaji alienda siku ya jumamosi pale udsm jengo la utawala chumba namba 105, akajaribu kujieleza kuhusu hii inshu jamaa wakamjibu kuwa mhusika wa izo mambo kwa siku hiyo hajaingingia kazini, kwaiyo akashauriwa arudi siku ya leo jumatatu, hivyo basi bado nategemea majibu kutoka kwa uyo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania UDSM imeachia round 4 & 5

    jamaangu umeongea jambo la msingi sana asee, unajua kuna wengine wapo ukerewe huko na wanahitaji kuomba ruhusa na majina hayajatoka, basi hata kwa nyie mliopo dar mungu akiwaongoza mkienda udsm na mkapata jibu basi na wale wa mikoani itabidi waombe ruhusa hata kwa kutumia profile view ya nacte...
  11. A

    JamiiForums Tanzania UDSM imeachia round 4 & 5

    Mpambalachuma : hapo ndo tunatakiwa tupeane mawazo wazee maana huu msiba ni wetu mwana, Sumaibra: Nacte wao washafanya yao mwana majina yapo udsm tayari kazi ni kwao kuyachuja au wanatubeba wote, sasa nadhani chuoni wana mambo mengi au wamesahau km wameruka batch moja???
  12. A

    JamiiForums Tanzania UDSM imeachia round 4 & 5

    ila leo tutajua mbivu na mbichi, nimemtuma mwana akacheki na utawala ili apate jibu la uhakika kama tunaenda tujiandae au kama mwaka huu hatuendi basi tuendelee na michongo mingine ya kutafuta maisha, maana kama mungu hajapanga basi huwezi force asee na ukilazimisha utashangaa unaenda ishi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania UDSM imeachia round 4 & 5

    mimi jina langu katika batch zote halipo, ila profile inaeleza kuwa nimekuwa provisionally selected udsm , kizuri zaidi hakuna nilichokosea katika profile na hata katika mchakato mzima wa kufanya application, inshu inakuja kuwa tyt pale majina yakija kudadeki sijioni daaaaaah, yaani kitu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania UDSM imeachia round 4 & 5

    wanangu noma sana asee, yaani inakatisha tamaa. maana profile ziko okey sasa tatizo liko wapi??? napia second batch ya udsm sijaiona kabisa au ndo yetu sisi?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nacte kwa wale wanaosubiria confirmation toka vyuoni

    Ndugu zangu tulioandikiwa kwenye profile zetu za nacte kuwa tusubiri confirmation toka kwenye vyuo ila tupo selected, nilikua nina ushauri labda unaweza kutuletea majibu mazuri, nina rafikiangu niliomba nae through nacte yeye ameandikiwa asubiri pia approve toka chuoni na jina lake pia bado...
Back
Top Bottom