Recent content by Aisy

 1. Aisy

  Karibu tushauriane na kupeana uzoefu wa manunuzi ya chakula kwa ajili ya mwezi mzima

  Sijaelewa, nikiweka kijiko kwenye carrots naendelea kuweka kwenye fridge pamoja na kijiko chake?
 2. Aisy

  Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

  Pia napishana na mdau aliyesema utafute binti from chuo or underage. My dear hao nao wanaweza kukupa headache Refer wimbo wa Lissa.
 3. Aisy

  Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

  Pole, Mimi Kwa mawazo yangu, nimeona kwa kweli una kiu ya upendo wa dhati. Ukiangalia trend from parents to majanga unayokutana nayo inaonyesha unahitaji faraja na Ile ukaribu from Babe. Mimi Kwa upande wangu, naomba tu muachie Mungu atakutengenezea Hili akitaka, Kama ilivyokua mwanzo ulilia...
 4. Aisy

  Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

  Thats the faith Baba...Mungu akutangulie
 5. Aisy

  Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

  Na kingine Tabora schools walimu wengi ni waaminifu... cheers to Tabora schools by m-warsaw mmoja🥰
 6. Aisy

  Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

  Hapo kwenye mahusiano 🚶🤦 Pole Kaka...Ila maisha yako ni muujiza unaotembea. Kama Mungu alivyokupigania juko nyuma usichoke kumlilia akuonekanie kwenye mahusiano yako. Most of the time, mambo ya mahusiano hua yanatutoaga kwenye reli na kusahau vile Mungu alivyotutendea mwishoni utajikuta...
 7. Aisy

  Anguko la Wema Sepetu

  Wema ni mtu aliyelewa ucelebrity...akikaa hajionei huruma the way she is loosing. Angekua mtu mwingine she could just settle and kupotea kwa muda akija anarudi na mradi wenye akili anapiga pesa. Ila bichwa lake limekalia kuparty na kuigiza. She is not feeling mercy for herself. Useless kabisa
 8. Aisy

  Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

  Na hilo ndilo nimeliona..fonts inaumiza macho kiasi on my view though
 9. Aisy

  Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

  Jamani huyo Jafari atumie font Kama za Msigwa, hiyo font hata hainogi
 10. Aisy

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Halafu nyie mnaojifanya ooh sijui subirin mbele Rais sijui atamuweka tena banaa weee tusidiscuss ya huko cha muhimu for now He is no longer DC hayo mengine yakifika tutajua...acheni kujitia utabiri mwingi 🚮🚮
 11. Aisy

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Wameufyataaaa thubutu walete ngebe watu wawasagie kunguni ....🤣🤣
 12. Aisy

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Mama anasoma comments zoteeee KWA furaha hii ya wananchi hawez mrudisha
 13. Aisy

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Na ukiona watu wanaofurahia anguko lako Jua una matatizo nadhan huyu ni wa pili watu wanafurahi kabisa from the heart....
Top Bottom