Habari, mimi ni mwanamke na mama wa mtoto mmoja, tatizo langu ni kwamba miezi miwili nyuma nilijifungua kwa operation, sasa ule mkono ambao ulitumika kutundikiwa drip na kupitishia dawa umekua km unakufa ganzi na muda mwingine unakua hauna nguvu hata kunyanyua kopo la choon inakua tabu je hii...