Range Rover Autobiography ni kali mbaya na bei zake cyo juu sana kiasi kwamba cyo macelebrities tuu watamudu kumiliki. Hili kuna watu hapa bongo watavuta within two to three months
Mimi nilinunua kumlindia mke wangu.......wengi tunadhani bastola kazi yake ni kulinda mali kumbe kazi yake ni kulinda uhai wako na jamii. Kama huwezi karate na boxing hiyo kitu inafaa. Vijana wa toyo wakikuharasi unaweza kujiokoa au kuokoa gari lako....wanachokosea masharo ni kuitumia kama urembo
Katiba ambayo haiwabani mafisadi haifai. Katiba isiyo na mwafaka haifai kuwa katiba ya nchi bali katiba ya wala nchi. Katiba ambayo haina mpango wa kuboresha uchumi wa taifa haifai.
Mimi najaribu kuwaza matukio ya wavuta bangi na walevi wa pombe hususan viroba utagundua bora wakataze viroba na banana wakaruhusu bangi kama ni lazima kuruhusu vilevi
Huwa sipendi makuu na askari hata kama ni mgambo wa jiji, niliposikia taarifa ya kupiga marufuku tinted kwenye vioo vya mbele, nilibandua hicho kidogo cha kwenye wind screen na za ubavuni kwa dereva. Nikijaribu kuangalia wenzangu tint za ubavuni zipo vile vile, nikapata shaka na nilivyoielewa...
Wanajf kama mtakumbuka kuna taarifa zilisambazwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kukatazwa kwa tinted kwenye vioo vya mbele vya magari. Naomba ufafanuzi vioo vya mbele ni vipi? Kuna wind screen na pia kuna vioo vya mbele ubavuni kwa dereva kulia na kushoto. Je, hivi vioo vya mbele...
Nenda Mzinga uwaeleze tatizo la silaha yako watakurekebishia. Ukiona inakuwa tabu badilisha, waongezee fedha kidogo uchukue Glock calibre (kipenyo cha mdomo wa mtutu) 9x19 mm, 25 rounds au glock nyingine yeyote ni bora zaidi ktk matumizi coz haina tabia ya kukwamisha risasi, tatizo ni bei na...
Kwa Tanzania cheo cyo dhamana bali ni ulaji. Asubuhi na mapema yote hii kumpigania fisadi aendelee kupewa ulaji ( ubalozi ) ni kukosa maarifa au upambe nux. Mimi sina tatizo na makaburu kuwekeza ila tatizo ni watu kama hawa kina Mpungwe hawako kwa maslahi ya taifa. Baada ya makaburu kutorosha...
Mungu alichomtunuku kinatosha asije akaharibu kilibhopo ndani ya moyo wake. Nautambua sana mchango wake lakini Mungu atosha. Matendo anayoyafanya cyo yeye ni Mungu hivyo wa kuitwa Dr. ni Mungu. Tusimjengee roho ya kujiinua tukaharibu kusudi la Mungu. Nimesikia wengine wakijiita Mtume na Nanabii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.