Silaha yangu ina hitilafu, Ushauri unahitajika

Silaha yangu ina hitilafu, Ushauri unahitajika

Namiliki silaha ndogo ambayo imekuwa na mushkeli siwezi tena kuitumia na vipuri havipatikani. Nikihitaji kununua silaha mpya je nitatakiwa kufanya maombi upya ili nipatiwe leseni mpya ya umiliki?!

nlijua silaha ya kiume bhana...
 
Nazungumzia Beretta 9.0 mm,16 rounds.

Nenda Mzinga uwaeleze tatizo la silaha yako watakurekebishia. Ukiona inakuwa tabu badilisha, waongezee fedha kidogo uchukue Glock calibre (kipenyo cha mdomo wa mtutu) 9x19 mm, 25 rounds au glock nyingine yeyote ni bora zaidi ktk matumizi coz haina tabia ya kukwamisha risasi, tatizo ni bei na uzito wake tuu compared to Beretta. Pia magazine yake ya kawaida inaingia 17 bullets na nyingine 30 bullets.........
 
Chombo kinaaribika baada ya matumizi mengi kwa hiyo silaha yako unataka kutuambia imeshaua sana au vipi?
 
Kaka 9.0mm bonge la kitu, tatiz nini mkuu? Ni action, stock ama muzzle part? At least ungesema coz bunduki is just a collection of parts which are replaceable, you just specify model & country of origin to have your spare replaced

Barrel defects!
 
Namiliki silaha ndogo ambayo imekuwa na mushkeli siwezi tena kuitumia na vipuri havipatikani. Nikihitaji kununua silaha mpya je nitatakiwa kufanya maombi upya ili nipatiwe leseni mpya ya umiliki?!

Huwez Fanya maombi kama mwanzo bwana kama no bastola say browsing 8mm na imeshindikana kabisa kutengeneza unaenda moja kwa moja polis huanzii serikal ya mitaa na hiyo lazima irudishwe na utapewa fomu ya kujaza utapata lesen ya siraha ya aina hiyo ila lesen pia utapewa nyingine.ikumbukwe huwez miliki siraha ya aina Moja zaid yz moja.unaweza omba shortgun pump action may be maana no tofaut na bastola na maombi hapo yanakuwa kama mwanzo.Ila sizan kama Tanganyika arm wataishindwa try to cross check with them
 
Mkuu mtutu ulitanuka kutokana na kupiga risasi kumbe kuna risasi iliyokwama ndani hivyo mtutu ukavimba na kuwa weak na hivyo haufai kuendelea kutumika,kwa hiyo Tanganyika Arms walinipa ushauri usiofaa yaani ni sawa na kuchonga tairi lionekane jipya umdanganye trafic na huku unahatarisha maisha yako.

Kilichokuwa kinatakiwa ni wao waniagizie mtutu mwingine lakini gharama yao ni bora ninunue bastola nyingine mpya! Hivyo nilitaka kujua process za licence!
 
Back
Top Bottom