Recent content by Aidarus Ally

  1. A

    SoC03 Bima ya bando nchini Tanzania

    Kulingana na kuwepo kwa changamoto nyingi sana zinazoikumba jamii ya kitanzania kuhusu gharama za bando na kuwepo kwa kutoeleweka namna ipi itumike ili kuwezesha upatikanaji wa gharama nafuu za bando kwa watumiaji wa mitandao, kwa maoni yangu naona namna sahihi itakayotatua changamoto hii ni...
  2. A

    Degree ya Procurement na mitihani ya bodi

    Mwenye degree ya procurement anaanzia level gani kwenye mitihani ya bodi?
  3. A

    Uchumi na vijana wa sasa

    Kwa sasa watu wengi ambao walishakuwa katika hali nzuri ya kiuchumi wanawataka vijana waweze kujiajiri, kiukweli ni sahihi kulingana na hali ilivyo lakini tatizo kubwa linalowakabili vijana ni mitaji na ubunifu sahihi wa biashara katika mazingira husika.
  4. A

    Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

    Kwa wa mikoani taratibu za kulala zikoje kwa ile siku ya kwanza au za mwanzoni kwa ujumla
  5. A

    SoC02 Malezi bora kwa familia zetu

    Familia ni muunganiko wa baba mama na watoto lakini inaweza kuwa familia ya mzazi mmoja au ya namna nyingine, familia nyingi za kitanzania huhusisha ndugu mchanganyiko kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya kazi. Malezi ni kitendo cha kulea lakini malezi bora ni kitendo cha kulea katika...
  6. A

    SoC02 Sayansi na Teknolojia kwa Tanzania

    UTANGULIZI Sayansi na teknolojia ni maneno mawili tofauti lakini yana maana zinazohusiana, Sayansi ni elimu inayoambata na majaribio kuhusu kitu fulani lakini teknolojia ni matumizi ya sayansi ambayo hutumika kutengeneza vifaa vitakavyotumika kutatua mambo,kwa maana hiyo kuna uhusiano...
Back
Top Bottom