Docta mke wangu amejifugua na ana week tatu mpaka sasa alinambia kuwa ana hamu ya kufanya tendo la ndoa maana alikuwa amekauka tayari sasa nimejisahau nikamwaga ndani je upo uwezekano wa kupata mimba kwa kipibdi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wahuni tu me mliniambia kuwa nifike bamaga mkaniambia kisiri siri kuwa nilipie 45000/=Tsh ndo nizipate hizo niliwachukia nyie wahuni mnatangaza kuwa mnatoa chanel bure afu mnatutakisha pesa wezi wakubwa nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mnisaidie hapa mimi niliitimu kidato cha sita 2017 nilisoma combination ya HKL na nina 3.14 division nina D,E,E,E sasa coz gani naweza chukua University?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnaposema tulipie 45000 ili tupate free chaneli ambazo no star tv ,ITV, TBC,east Africa, na channel 10 mnataka pesa za mini ili kuunganishwa na free chaneli kama siyo wizi huooo toeni free maana mshasema kutoa bureeee
Hivi serikali iko wapi? kwanini tunapinga mikataba feki lakini bado inaendelea kuexist ndani ya nchi hii hii no ambapo tulipata habari kuwa baadhi ya ving'amuzi kuwa vimeamua kufungia baadhi ya chaneli kama Star Tv, ITV CLOUDS mfano kwa watumiaji wa DSTV,AZAM &ZUKU Ila hawa star times...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.