pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,954
- 4,242
Ni kweliNilichogundua kwa haraka ni kwamba wa tz wakishabaki na channel za ndani ambazo ndio za bure basi hawalipii kabisa channel za ziada.
Sasa mjue hao startimes wana familia zinataka kula,kuvaa na kusoma pia.
Kwa hiyo lazima wajiongeze tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sikuwa na mpango wa kulipia tena. Labda kwa sababu wamekata kwa sasa , nafikiria kulipia