Recent content by Ahumdy

  1. A

    Hivi 2020 Magufuli atatumia njia gani kuomba kura?

    Watanzania watamchagua huyo huyo maana wengi wa watanzania akili less hawana upeo wakufikiri, watagaiwa T-shirt za kijani ,10000, na viroba then ccm itashida ikisaidiwa na Jeshi la Police.
  2. A

    Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Lisu hana haja ya kuwataja,makonda elaende tuu kwa akiekua boss wake (Mh kikwete anayo list akachukue km nikidume kweli wa kuwashuhulikia wauza unga)wasituzingue sisi akili zetu.unadel na madagaa wakati mapapa unawajua?
  3. A

    Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

    Na wewe starehe unahisi kwa upeo wako ni yaku lewa,kufanya zinaa, na wanawake kuvaa uchi tuu? Hakuna starehe bila ya kulewa ,kufanya zinaa,na wanawake kukaa uchi mbele ya manaume???
  4. A

    Trump apewe nuclear codes

    Na aekekeze tuu Afrika nashariki hukuu maana hatuoni la maana wanalolifanya watawala wetu
  5. A

    Je, Polepole ndani ya CCM atasimamia kile anachoamini au asichoamini?

    Walishamjua zamana sana km ilikuwa ni njaa inamsumbua so wameshampa shavu atatulia tuu km moja hapo alipo
  6. A

    Shambulio la Uturuki, Berlin lampa kiburi Trump kuhusu mpango wake wa kuzuia waislamu

    Tatizo sio kuwazuia waislam kuingia marekani na nchi za ulaya,mana huko ulaya na marekani yake waislam wapo na wameshajazana sasa na asilimia kubwa wanaofanya hayo mashambulizi si kwamba wanasafiri kwa kwend kufanya mashambulizi tuu nikuwa wanaishi hukohuko ulaya kwa muda mrefu sio wiki wala...
Back
Top Bottom