kuna kitu gani anachokiamini ambayo unafikiri anacho kichwani kwake cha kueleweka? kwa ile you turn yake unafikiri ni wa kuaminiwa tena?Sote tunajua umaarufu wa ndugu Polepole umekuja baada ya misimamo yake iliyotokana na rasimu ya katiba mpya ambayo kimsingi inakizana kwa kiasi kikubwa na chama chake. Tujiulize kama hatakuwa mnafiki atahubiri nini ndani ya chama chake?. Ni mabadiliko gani makubwa atayafanya ndani ya chama chake?. Naamini Polepole alimaanisha kile alichokisema wala haikuwa njaa kama wengi wanavyosema. Mabadiliko ya kweli ni kusimamia kile unachohubiri:
1. Serikali 3
2. Kupunguza kwa madaraka ya rais
3. Nafasi za wakuu wa wilaya & Mkoa hazina tija hivyo zifutwe.
3. Ukomo wa ubunge
4. Mawaziri wasitokane na wabunge
5. Tume huru. Na mengine mengi.
Tofauti ya nywele tu.Kwa hiyo IQ ya Polepole inazidi ya Prof Shivji?
Tusubiri TuoneSote tunajua umaarufu wa ndugu Polepole umekuja baada ya misimamo yake iliyotokana na rasimu ya katiba mpya ambayo kimsingi inakizana kwa kiasi kikubwa na chama chake. Tujiulize kama hatakuwa mnafiki atahubiri nini ndani ya chama chake?. Ni mabadiliko gani makubwa atayafanya ndani ya chama chake?. Naamini Polepole alimaanisha kile alichokisema wala haikuwa njaa kama wengi wanavyosema. Mabadiliko ya kweli ni kusimamia kile unachohubiri:
1. Serikali 3
2. Kupunguza kwa madaraka ya rais
3. Nafasi za wakuu wa wilaya & Mkoa hazina tija hivyo zifutwe.
3. Ukomo wa ubunge
4. Mawaziri wasitokane na wabunge
5. Tume huru. Na mengine mengi.
Mmh Tumbo lina sauti kuliko akili!Sote tunajua umaarufu wa ndugu Polepole umekuja baada ya misimamo yake iliyotokana na rasimu ya katiba mpya ambayo kimsingi inakizana kwa kiasi kikubwa na chama chake. Tujiulize kama hatakuwa mnafiki atahubiri nini ndani ya chama chake?. Ni mabadiliko gani makubwa atayafanya ndani ya chama chake?. Naamini Polepole alimaanisha kile alichokisema wala haikuwa njaa kama wengi wanavyosema. Mabadiliko ya kweli ni kusimamia kile unachohubiri:
1. Serikali 3
2. Kupunguza kwa madaraka ya rais
3. Nafasi za wakuu wa wilaya & Mkoa hazina tija hivyo zifutwe.
3. Ukomo wa ubunge
4. Mawaziri wasitokane na wabunge
5. Tume huru. Na mengine mengi.
Unachosema kinawezekana sana. Lakini naamini kama ana ufahamu makini lazima ajue kwamba historia yake inamfanya awe mtu wa kutiliwa shaka na kufuatiliwa kwa ukaribu sana. Na mwenyekiti wa CCM wa sasa sio mtu wa "kujaribiwa"; anawafahamu watu wake vizuri sana. Kosa kiduchu tu, atajikuta nje kwenye "kilio na kusaga meno". Pia, naamini kwa jinsi nchi yetu ilivyosukwa kimaslahi, jeuri hiyo bw. Polepole hana. Yeye ni mmoja wa wale watu ambao nje ya sekta ya umma/siasa, hana chake bali kuadhirika tu.Unafikiri ni kitu gani husababisha siri za chama kutoka kama sio watu kama hawa ambao kuna mambo huwa hawakubaliani nayo! Madhalani kikao cha chama cha watu 10 tu, bila hata mwandishi wa habari hata 1 kuwemo, pamoja na mikwala kuzuia kutoa taarifa kesho yake mambo yote yaliyojadiliwa yako kwenye magazeti!