Hivi vitu havitokei Kwa nyani!, watu wengi wanakuja kukulaumu ila hawavai viatu vyako, kama unauwezo mtrace Kwa kua hiyo namba Kuna ndugu zake alishawahi kuwasiliana nao, au kama vipi mahakama ya mnyonge IPO we deal nae tu
Adam (as) was the first human being whose intellect was capable of accepting and bearing the reasonability of revetion, God decided to appoint a Vicegerent upon earth and appointed Adam(as)
(introduction to the study of the Holy Quran,p:309)
Salaam, "and when the Lord say to the angels: 'I am about to place Vicegerent in the earth"
The world VICEGERENT means the choosen person to represent the ruler
and this gives us that there where other people before Adam (as)
kwahiyo member alietumia (Surat Al baqarah ch.2: v.31) Yuko...
SAWA tuseme wanasiasa wametega mirija Yao, Kwanintunawaogopa Nini kuwatoa Hadi tulete kampuni kutoka nje?
SAWA wanajinufaisha,Je pesa inazunguka humu nchini au inaenda nje kama muwekezaji ambapo akipata faida anapeleka kwake.
Ilanbado sijausoma huo mkataba ngoja kwanza tuone
Kwanza tambua tapeli Huwa na kikundi Chao.Hapo ulipofika hospital ukakuta watu wakayapenda mashuka hao ni wamoja.
Wanapokua wanakupigia simu kukupa uelekeo wao hukaa sehemu na kukutathmini na kupata nafasi ya kujipanga na jambo lao kutokana na wewe ulivyo.
Hao walichukua namba Ili kuhakikisha...
inawezekana ikawa ukifika baadhi ya destination unakutana na bus ya kampuni mnagawanyika, so Moja litakuwa Moja Kwa Moja south na mengine yatachukua abiria kuenda sehemu(route) nyingine
Da maisha haya, mi nakumbuka Kuna mwaka tumewahi kuhudhuria ibada ya ndoa ya moto na baadae ikafanyika ibada ya mazishi ya mamazazi was mtoto, Yaani mzazi alifariki katika harakati za sherehe na ilikua ngumu kughairi kwakua Kila kitu kilikua kimeshaandaliwa
NB: Ni majaaliwa kuiona kesho!
inawezekana,huenda ikawa position ya matirio,
yaan dunia inajizungusha katika muhimili wake ikiwa balanced na material ya eneo mojaHadi jingine, Sasa ikiwa uzito wa upande mmoja umepungua na kuamia kwingine inaeza changia kwa kua upande mmoja utakua umeelemewa!
in my elimu ya darasa la 7B jiografia
Escapism
There is no one answer to this but others try to define it as process of seeking distraction from reality by engaging in entertainment or fantasy.
instead of facing the difficulties head on and resolving them, it is easier to escape.
Accepting the truth sometimes is hard...!
Why some...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.