Recent content by Ahmad Mtumbi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji kioo cha iPhone XR OG(iCloud )mwenye nacho nicheki 0763802014
  2. A

    JamiiForums Tanzania Zitto naomba mjadala na wewe kuhusu sera ya uchumi ya ACT-Wazalendo

    Zitto atakupwelepweta bure tafuta saizi yako.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Eti kina Saed Kubenea ndo 'think tanks' wa CHADEMA! Lazima CHADEMA ife tu!

    Mkuu Ndio sababu wenye akili timamu wote Sasa wako ACT ya wazalendo.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Mji nga hajibiwi kwa maneno.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Backward never
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo hoja dhaifu zinazotolewa dhidi ya ACT-Wazalendo

    Tumeshapewa Kuna tatizo?naona Chama chenu kimejichokea mapema.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Mnapaswa kuhurumiwa Sana Chadema saccos,mwenzio alidai hizo picha Ni za KIGOMA wewe unasema ni edited haya Tunawasikilizeni ,endeleeni kujin yea.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Ni huyo huyo Tu msaliti wa ukweli amewasaliti majambazi,kwa wapenda haki Ni shujaa kwa mafisadi Ni msaliti.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Ni kweli sisi Ni majuha wa kufuata demokrasia haya wewe msukule nipe mfano wa demokrasia ktk Chama chako.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Kwa akili zako unamaanisha hakuna haja ya mfumo wa vyama vingi tubaki Na ccm Tu sio,we Nenda jikoni Tu ya barazani tuachie.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Wewe Ni msukule hujitambui njoo Na Ndugu zako tukusaidie.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Kaka Mimi nasafiri Na upepo wa mabadiliko,Na siwezi kushikilia Chama hata Kama kimepoteza dira sera za act zimefufua matumaini ya ukombozi,maisha Ni mabadiliko Ndugu yangu ulikuwa mchanga umekuwa kijana Na utakuwa Mzee Na utakufa kwa nini usibadilike kisiasa pia.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    We endelea kushikwa akili lakini habari Ndio hiyo japo sio habari njema kwako.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

    Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani...
  15. A

    JamiiForums Tanzania nani ataniuzia used lumia 720,au 625?

    wadau si mara ya kwanza nimenunua simu ktk jukwaa hili na sijapata kujilaumu, mara hii tena najitokeza kutaka mwenye nokia lumia 720 au 625 aniuzie. Mwenye nayo ani text ktk 0763802014.
Back
Top Bottom