Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

Ahmad Mtumbi

Senior Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
106
Reaction score
30
Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani huku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hili.

ACT Taifa kwanza leo na kesho.
 
hongereni tunduru kwakutambua uwezo wa viongoz wa act.sisi songea leo tupo tunasubili kumsikiliza zito.

hivi huko act hakuna mtu mwingine zaidi ya huyo, si ajabu hata mikutano yenu ya kata mtakuwa mnaweka video zake ahautubie
 
Ni upumbav kwa mtanzania anayejitambua kushabikia ?act..wenzio wamekula mabilion ili wathoofishe upinzan nyie mnashabikia tu hamjitambui kushabikia act ni sawa na harakat ambazo tulikuwa tumefikia 85% nyie mnaturudisha nyuma 0%
Act ni virus hawaitajiki hata kidogo
 
huwezi kunichagulia chama wewe nani kwangu? unaruhusiwa kuipenda cdm wewe mimi sikuchukii huo ni mtazamo wako.namimi kuipenda act nihaki yangu.namwingine akiipenda ccm nihaki yake.tufanye siasa siyo kuleta kauli za kipuuzi hapa
 
Ni upumbav kwa mtanzania anayejitambua kushabikia ?act..wenzio wamekula mabilion ili wathoofishe upinzan nyie mnashabikia tu hamjitambui kushabikia act ni sawa na harakat ambazo tulikuwa tumefikia 85% nyie mnaturudisha nyuma 0%
Act ni virus hawaitajiki hata kidogo
Wewe Ni msukule hujitambui njoo Na Ndugu zako tukusaidie.
 
Ni upumbav kwa mtanzania anayejitambua kushabikia ?act..wenzio wamekula mabilion ili wathoofishe upinzan nyie mnashabikia tu hamjitambui kushabikia act ni sawa na harakat ambazo tulikuwa tumefikia 85% nyie mnaturudisha nyuma 0%
Act ni virus hawaitajiki hata kidogo

weka ushahidi wa miamala ya mabilioni hapa, ili tuamini maneno yake vinginevyo blabla tu
 
hivi huko act hakuna mtu mwingine zaidi ya huyo, si ajabu hata mikutano yenu ya kata mtakuwa mnaweka video zake ahautubie

huo ni mtazamo wako hukatazwi.ndio ukomo wa ubongo wako kufikili
 
Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani huku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hili.

ACT Taifa kwanza leo na kesho.

Mkuu Nyota ktk Nembo inamaanisha nini?
 
Ni upumbav kwa mtanzania anayejitambua kushabikia ?act..wenzio wamekula mabilion ili wathoofishe upinzan nyie mnashabikia tu hamjitambui kushabikia act ni sawa na harakat ambazo tulikuwa tumefikia 85% nyie mnaturudisha nyuma 0%
Act ni virus hawaitajiki hata kidogo

Utakufa na pressure bure CHADEMA inakufa..!
 
Kaka Mimi nasafiri Na upepo wa mabadiliko,Na siwezi kushikilia Chama hata Kama kimepoteza dira sera za act zimefufua matumaini ya ukombozi,maisha Ni mabadiliko Ndugu yangu ulikuwa mchanga umekuwa kijana Na utakuwa Mzee Na utakufa kwa nini usibadilike kisiasa pia.

Umenifurahisha kweli hata kesho ikitokea chama kingine kikaja na sera nzuri unahama. Sasa mtu km wewe hufai kwenye jamii. Nyinyi ndio huwa mnakimbia familia Zenu kukimbilia kwa jirani kwasabau kuna Nyama.
 
Back
Top Bottom