Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

Tunduru tumeipokea vizuri ACT - Wazalendo

Nendeni kwa Gwajima au Kakobe mkatolewe mapepo maana hayo mashetani yanawafanya mnakuwa machizi na hicho chama chenu cha kilaghai, puuuuuuumb..............................v
 
We endelea kushikwa akili lakini habari Ndio hiyo japo sio habari njema kwako.

Mi nadhani Mashabiki wote wa Act ni Majuha. Nyinyi kunasiku ZZK atasema kuleni Mavi na mtakula. Maana kila mtu Act anaimba ZZK tu hicho chama ni cha mtu mmoja tu?. Naona nynyi Act ZK amewashikia akili. Mtakuja kuwa km wafuasi wa yule mchungaji Uganda aliyewachoma moto waumini wake.
 
ACT ni wakuwapuuza tu hao hawana jipya;watu lazima mjitambue ZZJ huku kigoma ameeneza udini sana halafu eti anajiita mzalendo.
 
Umenifurahisha kweli hata kesho ikitokea chama kingine kikaja na sera nzuri unahama. Sasa mtu km wewe hufai kwenye jamii. Nyinyi ndio huwa mnakimbia familia Zenu kukimbilia kwa jirani kwasabau kuna Nyama.

Kwa akili zako unamaanisha hakuna haja ya mfumo wa vyama vingi tubaki Na ccm Tu sio,we Nenda jikoni Tu ya barazani tuachie.
 
Mi nadhani Mashabiki wote wa Act ni Majuha. Nyinyi kunasiku ZZK atasema kuleni Mavi na mtakula. Maana kila mtu Act anaimba ZZK tu hicho chama ni cha mtu mmoja tu?. Naona nynyi Act ZK amewashikia akili. Mtakuja kuwa km wafuasi wa yule mchungaji Uganda aliyewachoma moto waumini wake.

Ni kweli sisi Ni majuha wa kufuata demokrasia haya wewe msukule nipe mfano wa demokrasia ktk Chama chako.
 
By Jaime Robert: ACT YAKATALIWA SONGEA:- Jana na leo zomeazomea imetawala mitaa yote ya songea wakati gari la matangazo ya ujio wa zito lilipokuwa likimpaisha zitto kwakusema yeye ni mzalendo wa kweli. Ndipo wananchi walipoanza kuzomea na kusema kuwa Zitto ni mnafiki mlewa sifa! Je kosa la Zitto ni lipi?

ku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hil

ACT Taifa kwanza leo na kesho.[/SIZE][/QUOTE]
 
Hivi kiongozi mwingine wa act ni nani maana namfahamu huyu msaliti tu.
 
Ni kweli sisi Ni majuha wa kufuata demokrasia haya wewe msukule nipe mfano wa demokrasia ktk Chama chako.

mtakufa kama wafuasi wa kibwetele,wengine mnaingia kichwakichwa hata hamjui malengo ya ZZK eti demokrasia ni ipi hiyo anayoeneza ukigoma na ukidini.
 
By Jaime Robert: ACT YAKATALIWA SONGEA:- Jana na leo zomeazomea imetawala mitaa yote ya songea wakati gari la matangazo ya ujio wa zito lilipokuwa likimpaisha zitto kwakusema yeye ni mzalendo wa kweli. Ndipo wananchi walipoanza kuzomea na kusema kuwa Zitto ni mnafiki mlewa sifa! Je kosa la Zitto ni lipi?

ku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hil

ACT Taifa kwanza leo na kesho.[/SIZE]
[/QUOTE]

Wanaozome wanajulikana wametoka chama gani au wamenunuliwa viroba na viongozi wa chama gani.wazomee huko huko mitaani wakija kwenye mkutano kuzomea tutawang'oa meno.
 
Wanaozome wanajulikana wametoka chama gani au wamenunuliwa viroba na viongozi wa chama gani.wazomee huko huko mitaani wakija kwenye mkutano kuzomea tutawang'oa meno.[/QUOTE]

Huwezi kumng'oa mtu meno na wakati walishawajua malengo yenu na wanajitambua yeye aje huku kwao kigoma aeneze udini wake kama kawaida yake
 
Naomba ACT wajikite katika kueneza sera na ilani ya chama kwa wananchi ili waijue zaidi,waache kubishana na wachaga pamoja na saccos yao iliobuma
 
Chama pinzani ni kipi?cdm kilipowaita cuf mashoga na ccm b walikuwa hawakinzani.mbona mnataka wote tuwe chagadema.huyu nayeee
 
hivi huko act hakuna mtu mwingine zaidi ya huyo, si ajabu hata mikutano yenu ya kata mtakuwa mnaweka video zake ahautubie

Ni jukumu la Kiongozi mkuu wa Chama cha ACT Kukitangaza chama nchi nzima,yeye ndio Organising machine na atakuwa na wasaidizi wake
Back to your question: Sio kwamba hakuna mwingine zaidi yake ila yeye ndio amekalia kiti chenye jukumu hilo nililolitaja juu,akija kukakila mwengine atarithi hayo majukumu na movement itaendelea,Karibu ACT-Wazalendo.
 
kwa hiyo mkuu unakiri kuwa hata mikutano yenu ya kata mtakuwa mnaweka audio/video zake kwa sababu hakuna mwingine zaidi yake anae weza eneza chama hadi astaafu ufalme
 
Cha ajabu mnaozungumzia ACT ni CCM na hao wana CCM mnaowapa kadi za chadema wajifanye chadema kumbe mnaigiza tu mtawakamata wafuata upepo wenzenu na sio watu wanaojielewa..... Only the time will tell....
 
Ha ha ha.. Chama cha mtandaoni huku JF hiki lol.. Yaani ukiangalia id kibao za mwezi March zimefumuka kushabikia act-wamagendo..
 
Back
Top Bottom