Recent content by ahmad hussein

  1. A

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimempekala Mtoto Agakhan Hospital Bima (NHIF) Imekataliwa!!

    Hapo sioni mh kama alikuwa na maana ya hilo, au alikuwa anataka kumaanisha nini.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kupelekwa Marekani kwa Matibabu zaidi

    [emoji15] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kupelekwa Marekani kwa Matibabu zaidi

    Je inawezekana kwa hili? Kwa nini mwenyekiti hasitoe taarifa sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Kuna magari ya umma na haya hata ya polisi yana vioo giza, je navyo watatoa au? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Mikutano ya Rais yote ni LIVE ila bunge wananchi wafanye kazi wanapoteza mda

    Ofisi ya rais, wanalipa na ni mara moja moja, bunge linakaa muda nrefu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tutampeleka Mahakamani Tundu Lissu tukimaliza upelelezi

    Duh ata wanyonge tungekuwa tunatetewa kama hawa, naamini haki ingekuwa kubwa sana na wote ambao wangefungwa wangekuwa wanafungwa kwa haki. Kwa hili, nahisi sheria ina macho. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania TFF yaahirisha uchaguzi kwa madai ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu

    Ukiwa na akili iliyotulia sana, na ukawa na akili ya ziada utajua nini kinendelea, kesho kuna jumatatu ya ya tarehe 3 na 4/7/07 kuna jibu na jumanne. Siku hizo tajwa utapata majibu sahihi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Unachopaswa kutambua Ndugu Edward Ngoyai Lowassa

    Umakini ni muhimu sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mchujo TFF:Ali Mayai apeta,Malinzi afungaishe

    Alli anatakiwa acheze vizuri karata zake hasa kwa wajumbe wenye haki ya kupiga kura, aachane na sisi tunaomkubali lakini sio wapiga kura.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bila busara za TFF tungekuwa bado tunasubiri mshindi wa VPL

    Kazi ipo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Duh, hatari, hata huko kwao bado hawajampa mtaa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Simba kumnasa Niyonzima yaota mbawa!

    Hawa viongozi wa simba ni shida, wanapenda sana kujikweza.
Back
Top Bottom