Recent content by ahlusunna

  1. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NIPO ROMBO TARAKEA MJINI IDARA YA MSINGI NATAKA KUHAMIA MOSHI VIJIJINI AU MANISPAA,KWA ALIYE TAYARI ANI PM
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Rifaro Africa yafungiwa na TCRA, yatozwa faini!

    WATANZANIA TUSIKURUPUKE,
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Rifaro Africa yafungiwa na TCRA, yatozwa faini!

    Ama kweli subira yavuta kheri,nami niliisikia nikatafakari lakini nikagundua wtu wanataka kupiga hela tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Mikutano ya wazee wa Kikwete na Magufuli

    nampongeza magufuli,lakini kwa hili la Zanzibar tujikumbushe historia wakati wa mkapa zanzibar ilichafuka jeshi likatoka bara likaenda kuua watu zanzibar na wakazikwa kwa halaiki sasa kwa hili kama busara haitatumika ikitokea fujo{na itatokea kwa sababu chama chenye wafuasi wengi zanzibar...
  5. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna mwl yupo wilaya ya rombo tarakea mjini idara ya secondary anataka kwenda moshi vijijini au manispaa kwa aliye tayari mawasiliano ni 0756530665
  6. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NIPO WILAYA YA ROMBO TARAKEA MJINI,IDARA YA MSINGI,NATAKA KWENDA MOSHI VIJIJINI,KWA ALIYE TAYARI TUWASILIANE KWA NAMBA 0674504792
  7. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu idara ya msingi nafundisha wilaya ya rombo tarafa ya tarakea mjini,nataka kuhamia wilaya ya moshi vijijini,kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0756530665
  8. A

    JamiiForums Tanzania Noti zinazogawiwa kwa wajumbe Dodoma hizi hapa

    kwa kweli inati hasira chuki nna ghadhabu kuona vitendo kama hivi,yaani kuna watu vijijini wanakufa kwa kukosa shilingi mia ya kununulia paracetamol,kina mama wajawazito wanakosa mia tano ya kununulia gloves,watoto wanakalia vumbi hawana madawati,halaf mtu anaona fahari kwenda kugawa fedha kama...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Balozi Amina Salum Ali Alipomtembelea Rais Jakaya Kikwete

    tatizo la wengi huku jamii forum,ni kuchamngamya mambo kwani kuna uhusiano gani kati ya yeye kumtembelea rais;kuvaa hijab na kutojua kingereza,mbona kama kuna jambo mlikuwa jambo lilikuwa ndani ya vifu vyenu lakin mkashindwa jinsi ya kulianzisha?sasa mkaona mlilete kwa njia hii,hilo si jambo la...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    na kuhusu soko la uhakika linapatikanaje?namaanisha ukishakuwa nao na unataka kuwauza soko la uhakika linapatikana wapi?
  11. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi mwl shule ya msingi nipo wilaya ya rombo tarakea nataka kwenda moshi vijijini kwa aliye tayari ani pm
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ijue Wilaya ya Rombo kinaga ubaga na sifa zake

    mimi nipi rombo lakini hayo yote uliyoyaanisha yapo baadhi lakini si yote mkuu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sheria za jela

    sheria ni nyingi lakini NA PIA UGALI NI MTAMU LAKINI SI WA JELA
  14. A

    JamiiForums Tanzania Walimu Jiji la Mbeya waliopandishwa vyeo juni 2014-TAGAZO LA KUKUTANA.

    nawapongeza kwa uamuzi huo,na wilaya nyingine muige kama kuna uzembe kwenye wilaya zenu,walim tusikubali kukandamizwa na vijitumishi vinavyokaa ofisin bila kushughulikia stahiki za watu,vinanikera kweli mi huwa natamani kuvilisha AK47 midomoni vifilie mbali, na hususani hivi vinavyohusika na elimu,
  15. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh abaka mabinti mapacha Kigoma

    ukishasema ni mganga hawez kuwa shekh,huyo mwandish ana fikra finyu ya uchambuz,alipaswa aandike,Mganga wa kienyeji abaka mabinti mapacha kigoma,ageheshimika,lakin kwa uandishi huo anaonekana si mwerevu wa mambo,
Back
Top Bottom