Recent content by Ahazy

  1. Ahazy

    Rais Samia Suluhu: Kila mwenye nia 2025 aache mara moja

    Uwaziri sasa hivi umekuwa kama elimu ya bongo, anayejituma atakula matunda ya jasho lake. Mungu amsaidie Rais wetu, maana hakuna ajuaye kesho
  2. Ahazy

    ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

    Walichokifanya kipo sahihi kwao, lkn wanajisumbua sana. Shida si kuwepo kwa Corona Tanzania, shida ni kwamba hata kwao ipo. Hivyo ni ngumu kumshauri mtu wakati tatizo hilohilo analoliptia mwenzako linakutoa jasho. Kwao watu wanakufa kwa kiwango kikubwa kwa siku lakini ushabiki wote upo Tanzania...
  3. Ahazy

    Wanaume, mkipenda boga mpende na ua lake

    Kupenda ua na boga lake ni msemo ulio kwny nadharia sana. Upendo ni kitu kigumu kwny utendaji, lakin chepesi kwny usemaji. Hii ni kwasbb upendo una vipimo tofauti tofaut wakati wa furaha na wakati wa shida. Mwanaume anaweza akahudumia watoto wote (mpk wa kambo) lkn bdo akawa na dhamira binafsi...
  4. Ahazy

    Sijui hata nifanyaje?

    Mara nyingi katika mahusiano kama yako, hautatokea kipindi kirefu ambacho mambo yako yatatulia. Labda mtafikia wakati ambapo kila mmoja au mmoja kati yenu atagundua kuwa mmepotezeana muda na haina budi kuendelea tena… au mwanaume atasitisha ahadi kutokana na hali ya kimaisha au hisia kubadilika...
  5. Ahazy

    Wanawake wananitafuta sana lakini nawakatalia tatizo langu nini?

    Huo ni wakati wa mabadiliko ya akili baada ya mabadiliko ya mwili na hisia. Hiko ni kipindi ambacho kwa baadhi hawavutiwi na msichana/mvulana kwa muonekano, au kujiprndekeza kwake kwako. Lkn wengi hujiweka mbali kihisia na wapenzi wao sbb ya waliyoyapitia, waliyoshuhudia au waliyosikia. Hivyo...
  6. Ahazy

    Sijui hata nifanyaje?

    Kwasababu wote mnatumiana, vumilianeni. Cha kufanya, ww timiza anachohitaji ili upate uliyoahidiwa. What goes around, comes around.
  7. Ahazy

    Uhuru Kenyatta: Magufuli taught us that Africa can do without foreign aid

    God bless Tanzania, God bless Africa.
Back
Top Bottom