Recent content by Agiza Express

  1. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    Nilihusiwa kuwa Pazuri ni kwenu na kwako tu, asee kweli haikunichukua muda kuelewa kwa vitendo🙌
  2. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi

    Sikiliza moyo wako mwaya, huenda unayamudu maisha bila kazi yanini ujiue sababu ya kazi😌
  3. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Arsis ukiona huu ujumbe naomba uujibu tuna changamoto ambayo tunahitaji msaada kiukweli
  4. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    Tunashukuru sana kwa kuchukua muda wako wa thamani, kuacha kufanya mambo yako na kutupa sisi maarifa haya ambayo ni adimu sana maana wengi waliofanikiwa huwa hawapendi kushea siri zao za mafanikio lkn kwako umekua tofauti, hakika M-ngu unayemuamini aendelee kukupa haja ya moyo wako, akubariki...
  5. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KUJIKWAMUA KIMAISHA.

    Tafuta hospital za serikali au binafsi ujitolee ili upate uzoefu, na kazi utapatia huko huko hiyo ni moja ya kozi ambazo ajira zake hata interview huwa hamna kutokana na uhitaji mkubwa wa wataalam wa vifaa tiba. Ila kama hutaki kufanyia kazi elimu yako basi angalia kuna uhitaji gani wa bidhaa...
  6. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mayai inalipa sana

    Anza kwanza biashara ndio utapata majibu yote ya maswali yako, ukiuliza sana hutafanya kitu maana kila mtu ana mtazamo wake na uzoefu wake tofauti ambapo mitazamo yao haikuzuii wewe kufanikiwa wala wewe kufeli.
  7. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mayai inalipa sana

    Anza kwanza biashara ndio utapata majibu yote ya maswali yako na utajua urekebishe wapi, uendelee au uache, ukiuliza sana hutafanya kitu maana kila mtu ana mtazamo wake na uzoefu wake tofauti ambapo mitazamo yao haikuzuii wewe kufanikiwa wala kufeli.
  8. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

    Great summary ever, keep it up 👏👏👏 To me richest man in babylon is my life changer book
  9. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Kero ya mabasi ya mwendokasi, Serikali iingilie kati

    Kama ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi utanielewa hiki nachotaka kusema, imekuwa ni kero ya muda mrefu na sasa imezidi maradufu kwa sisi watumiaji wa mabasi yaendayo kasi na bahati mbaya hatuna pa kusemea. Kujazwa kwenye mabasi, kukalishwa muda mrefu kwenye foleni ya kusubiri mabasi, kukata...
  10. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

    Sababu bado ni mwanafunzi nakushauri usianzishe biashara maana itakusumbua usimamizi. Kwa experince yangu chukua iyo pesa weka UTT Liquid fund ambayo kwa mwezi una uhakika wa kupata mpaka laki nne kama faida ambayo hujaifanyia kazi na haina risk. Tofauti na biashara ambayo haikupi uhakika...
  11. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Tunazaliwa kiła siku, na kufa kiła siku, idadi itawezaje kutimia kwa style hiyo? au ndio inatakiwa watu wanaozaliwa Wawe wengi kuliko wanaokufa?
  12. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Sasa kama tunakufa idadi inayotakiwa itafikiwa kwa style gani?
  13. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kutokana na changamoto ninazopitia ofisini ninapofanyia kazi

    1. Muulize supervisor unakosea wapi urekebishe mwende nae sawa. 2. Jitume na ujiongeze kwa kuonesha moyo wa kutaka kujifunza na kuuliza usichojua, ikishindikana mueleze kiongozi wako changamoto unayopitia ajaribu kuongea na workmates wako ili waweze kushirikiana naww. Saa ingine umekaa hujitumi...
  14. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Amina mtumishi, lakini pia tunaokolewa kwa Neema sio kwa nguvu, akili wala uwezo wetu.
  15. Agiza Express

    JamiiForums Tanzania Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Nakujibu lakini naomba pia unijibu maswali yangu niiliyokuuliza kwenye last quote sababu huu ni mjadala wa kuelimishana na wala si kushindana so mimi pia napenda kujifunza kutoka kwako huenda nikapata kitu kipya na nikabadili mtazamo wangu. Kwangu maandiko yanathibitisha kuwa kilichofanya mimi...
Back
Top Bottom