TUMESIKIA UPANDE 1 WA MLALAMIKAJI HATUJASIKIA UPANDE WA MLALAMIKIWA.
MARA NYINGI INAPOTEKEA HALI KAMA HII HUWA KUNA SABABU,
LABDA MWANAUME ANA MASHAKA NA UHALALI WA MTOTO WAKE, AU KUNA MENGINE PIA.
Mnaoshauri mnasema aende ustawi wa jamii au mahakamani, Je mwanaume ukikataa kuwa si mwanao...
Wao waje wasije sisi tupo tunapambana debe la mahindi limefikia 25 elfu, Hivo njaa ni kali huku.
Wanasiasa wana mbinu nyingi sana za kucheza na akili zetu, so waje tu muwape kura tena 2025 siyo mbali.
Jf kuna memba zaidi ya laki 5 sasa kama kitu hicho hakijulikani kwa watu laki 5 basi hakipo kabisa duniani.
Na kumbuka humu kuna watu waliobarehe tu watoto wako FB.
Case closed
Sababu za shida yako
1. Uchumi wako siyo mzuri labda
2. We bado ni mwnfnz katika idara hii
3. Ndiyo umeanza haya mambo
4. Nguvu zako za kiume labda hazitoshi.
Watu,tunamiliki zaidi ya wanawake hata 8 kati ya hao unapenda 1 zaidi, 2 kiasi fulani hlf 5 hawa huna ramani nao isipokuwa cku tu...
Sijawahi kumuelewa huyu waziri,,mpaka leo sijuw kwa nini alipewa,wizara nyeti kama zilivyo nyeti zetu huyu mtu sielewi kabisa.
Hakuna wizara aliyowahi kupewa akafanya kazi,na kuwa mfano wa Kuigwa huyu ni lege lege hana ubunifu hana la kujifunza kutoka kwake.
Unagawa mtungi wa gas, ukiisha...
Naunga hoja,,awe makini na mikopo yao,,wanakuonesha ramani matata na kukupa mchongo kuwa wakikukopesha ukajenga kitega uchumi fulani pesa utapiga za kutosha baada ya kukubali huo mkopo huwa haulipiki na mwisho wanachukua hilo eneo na kuwa lao daima.
Kuna uzi niliona kuwa kuna jamaa anakula hela za watanzania wenzetu kwa KUJIITA yeye ni wakala wa QATAR AIR hivo ukitaka kazi kule ni sekunde tu coz yeye ni wakala.
Afadhali isiwe wewe mkuu maana mkimaliza maongezi unampa kabisa na UNIFORM na kumwambia asubir cm tu ya kwenda kazini, itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.