Recent content by Aggape

  1. Aggape

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuingiza nchini ndege 2 za kisasa kutoka Canada ndani ya siku 60

    Mungu asaidie zisijekuwa kama mitambo ya ufuaji umeme
  2. Aggape

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu ANITHA wa GEITA MJI,Shule ya Sekondari Kalangalala,anatafuta Mwalimu wa kubadilisha naye kituo cha kazi kutoka Morogoro Manispaaa. Kama kuna Mwalimu yupo tayari wawasiliane kwa simu namba 0719-222 132.
  3. Aggape

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu upotoshwaji wa ugonjwa wa homa ya Dengue

    ugonjwa haupo hilo ni changa la macho ili wananchi eazubae na watu wapigepesa tushawazoea hii serikali,nijanja ujanja tuu hapo kunadili linasukwa ili livushwe wananchi msizubae,jiulizeni mbona hao wagonjwa wa hiyo dengue hawaoneshwi au hawaonekani wakati wakuripotiwa?
  4. Aggape

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 2013/2014 zasitishwa.

    Sasa muda wowote pesa itapatikana,sindio hadi mwakani sasa
  5. Aggape

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitataja majina ya vigogo walioficha fedha nje kwenye kikao kijacho

    Sawa kaka acha tuone kama watatajwa,maana hata Lukuvi alidai akiwataja wahusika wa dawa za kulevya waheshimiwa wote bungeni watahusika,hivyo likapita nakuwekwa pembeni namambo yanaendelea,sasa Zitto sielewi
  6. Aggape

    JamiiForums Tanzania Utawala Bora: Naibu Waziri Ghana afukuzwa Kazi kwa Kauli yake!

    Hakuna wakumfukuza kazi mwenzie maana wote wanahitaji hizo pesa
  7. Aggape

    JamiiForums Tanzania interview pccb

    Mnafikiri itachukua kama muda gani hivi,ili watu waitwe kwenye usaili?
  8. Aggape

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

    Mmmh hali tete mbona
  9. Aggape

    JamiiForums Tanzania Ajira tanzania police force, diploma na digrii

    Asante
Back
Top Bottom