Hapa lengo wala si kutoa taarifa kwa umma,ni mpango wa kupiga hela siku chache zijazo. Hii ndo Tanzania bhaana!
Nakuunga mkono. Wanainua mambo utadhani yana uzito mkubwa hivyo! Tuko na Katiba Mpya tu sisi..TUMESHITUKA!!!! Mnataka kutusahaulisha tu kuhusu Katiba Mpya. NO WAY!!!! Kwanza, Katiba Mpya; Pili, Katiba Mpya; Tatu, Katiba Mpya; Nne, Katiba Mpya; Tano, Katiba Mpya; Sita, Katiba Mpya; Saba, Katiba Mpyaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
unajitoa ufahamu au ni nni? hujaona haya maelezo? .............Tumia vyandarua vilivyosindikwa viuatilifu (kwa wale wanaolala majira ya mchana na hasa kwa watoto)Mbona kama Dengue ipo mbona kinga yake inatofautiana na maelezo ya awali. Kwanza taarifa zilisema mbu wa Dengue a.k.a Masharobalo hupenda maji masafi, sasa wizara inasema tufukie maji yaliyotuama. Pili Masharobalo hao huuma mchana, wizara inasema tutumie vyandarua au wataleta vya muundo wa miamvuli? Kifupi hapa ni kupiga deal kwa kwenda mbele kama kikombe cha babu.
mkuu sijakuelewa hapo, wafanye propaganda ya nini kwenye suala hili?Haya ndiyo matatizo ya serikali kujiingiza kwenye mambo ya propaganda, sasa wananchi tumeshapoteza nao imani. Hata kama wakiwa serious tunajua ni propaganda tu hizo.
We unaejiita Agape mpuuzi kweli Tomaso mkubwa ndo maana mnaangamia kwa kukosa maarifa mimi mwenyewe ninaumwa dengue week sasa sijapona alaf unasema ugonjwa huu haupo ....nyie primitive mkiumwa mnakimbilia kwa waganga mmelogwa. ...