Recent content by ages

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

    Mimi hapa ninauhitaji wa laptop☝️😲 nipo Mtwara. ukiguswa kwa hiari.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongoza Nchi kwa ufanisi utafikiri alijiandaa kushika Urais kwa zaidi ya Miaka hamsini iliyopita

    umesahaau kuambatanisha namba Yako ya simu leo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Ila ustadhi mlituhabarisha kwamba wanaupinde wanapelekewa moto na Hamas Hadi wanakimbia.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nchi kadhaa duniani zaanza kuchukua hatua dhidi ya Israeli juu ya operesheni yake ya kijeshi huko Rafah ambayo yaua wapestina wengi

    Kufuga magaidi Kuna gharama take ndio maana Tanzania haikuwavumikia ingawa baadha ya watu walipiga kelele kuwatetea
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

    Kwakweli nimempenda Sana huyo Binti mzuri na mpole.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

    Bila Shaka hayo yatakuwa mayowe ya ushindi maana tuliambiwa yahudi linakimbia Gaza Kwa mkong'oto anaopewa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu

    Niwekaje wakati hakuna, hiyo uliyoweka ni sawa na zile video za arma3.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu

    Video uliyoweka siyo halisi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Salama yako ni kuling'oa tu
  10. A

    JamiiForums Tanzania IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

    Imgeletwa bbc na CNN Kwa hakika ungesema ni propaganda za uongo, niliwahi kuona wananchi wa Palestine walipokuwa wanahama kutoka kaskazini mwangaza kwenda kusini wakiilaani Hamas Tena taarifa ipo BBC
  11. A

    JamiiForums Tanzania IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

    Siyo haziaminiki Bali hupendezwi nazo, habari ipi Ni ya uongo hapa aliyoileta?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Israel inajiandaa kuivamia Lebanon muda wowote kuanzia sasa

    Umenidharau Kwa vya kutosha
  13. A

    JamiiForums Tanzania Israel inajiandaa kuivamia Lebanon muda wowote kuanzia sasa

    Isis, Hamas, boko Haram hao wote wanatumia watoto kufanya ugaidi na ushahidi upo. Ninauhakika unauwezo mkubwa Sana wa kufikiri ila unajitia upofu na kujifanya unashangaa watoto kutumika kwenye ugaidi na hayo makundi
  14. A

    JamiiForums Tanzania Israel inajiandaa kuivamia Lebanon muda wowote kuanzia sasa

    Kujua tofauti Kati ya simu ya Samsung na Infinix huhitaji kuwa engineer kwenye hivyo wiwanda, hata Leo najua tofauti ya uniform za jwtz na kdf
Back
Top Bottom