Recent content by AgentMalcolmTz

  1. A

    Unapoagiza gari hakikisha taarifa zilipo kwenye documents zilingane na gari husika.

    Details zilizopo kwenye nyaraka kama Bill of lading, invoice na inspection report hakikisha zinafanana na gari physical taarifa kama chassis no, make, mileage, model na year of manufacture vinafanana. Hivyo vitu ndio vinaamua utalipa kodi kiasi gani TRA. kwa gari na mizigo yote ya local lazima...
  2. A

    F1 Brazilian GP: Leo Max Verstappen kaonesha who's the GOAT. Kutoka P21 kwenye Grid hadi P2 kwenye Race!

    Anafanya F1 ionekane ni mchezo wa kawaida.. Wakati Kuna mtoto wa kishua Lance Stroll DNF kwake ni kama ushindi
  3. A

    Umeagiza gari limefika bandarini lakini huna pesa za ushuru?

    Don't panic! Kuna njia salama na yenye unafuu wa gharama kulihifadhi gari lako kupitia BONDED WAREHOUSE wakati ukijipanga kupata fedha za kulipia ushuru. Njia hii ndio utumiwa na waagizaji na wauzaji wa magari wanachofanya ni kupeleka gari bonded warehouse na kuanza kutafuta wateja ikitokea...
  4. A

    Usichelewe kufanya clearance ya gari/kontena lako

    Mizigo inapochelewa kufanyiwa clearance, inaweza kuongeza gharama za uhifadhi na, kulingana na taratibu za kisheria, mzigo unaweza kufikia hatua ya kupigwa mnada. 📌 Kama wewe ni mwagizaji au mfanyabiashara, ni muhimu kuanza taratibu za clearance mapema na kuhakikisha nyaraka zote zinakamilika...
  5. A

    Mzee wa Madungu, Chris Lukosi, anawadanganya wateja wake anatest Aston Martin DB7 V12 wakati ni Aston Martin Vantage V8

    Yawezekana Europe bei za magari ni cheaper Zaidi ya Japan. Yote kwa Yote unaweza kujikuta Tanzania nzima wewe peke yako ndio una hiyo ndinga sasa nayo ni stress baba ake
  6. A

    Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Video hamtumi mnataka tujadili nini😂
  7. A

    Hyundai wamezindua 5th Generation ya Tucson: Rav 4 Should Watch its Back!

    Na angalau ingeenda kuboresha hata miundomninu ya nchi Kila siku mjini tunateseka na mafoleni ya kishamba
  8. A

    Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

    FunCargo Ina space sio mbaya kwa kiwango hicho
Back
Top Bottom