Recent content by Agenda1

  1. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepoteza ushawishi kwa wananchi

    Kuongoza watanzania ni kazi rahisi sana
  2. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Ungesema pia ni aina gani ingependeza, kusema tu wa kisasa bado haitoshi.
  3. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Askofu Gwajima aanzishe Chama cha Siasa

    kanisa la wasabato pia haliungi mkono chanjo hiyo wala si gwajima pekee, imesemwa chanjo ni hiari kwa nini wanaoikosoa muwaone wahalifu, wewe na wenzio inaowapendeza chanjeni kwa wingi na kwa kujirudiarudia kadri muwezavyo, hakuna atakae wauliza.
  4. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

    Ufanisi ktk usimamizi na matumizi ya rasilimali zetu unachagizwa kwanza na uzalendo wa viongozi wetu, na pili umakini, utashi na maono mapana kuhusu rasilimali hizo na si uanzishwaji wa wizara kwa kila jambo. Hata tungekuwa na wizara 100 bila hayo ni kazi bure!
  5. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Kwa sasa anaishi maziningira gani mdogo wako, unadhani kama angepaikana msamaria asaidiwe kitu gani ili atokane na hali alionayo ?
  6. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Magufuli alichukia wawekezaji au alichukia wawekezaji janja janja?

    Mkuu umeua! ha ha ha!
  7. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ilichezewa sana, au nchi hii itachezewa sana?

    Muulize mama yako, yeye analo jibu sahihi, karibu
  8. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unawajua Wakenya?

    Mkuu usimfananishe chuma na vitu visivyoeleweka!
  9. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia zinaponya bila kutumia dawa

    Mkuu kuna mitanzania inasikitisha sana!
  10. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ilichezewa sana, au nchi hii itachezewa sana?

    Na sasa ndio tutachezewa kisawasawa!
  11. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    Ktk haya unayoyasema, mtu aliekuwa anaaminika pasi na shaka ni mwendazake, kwa mama nadhani anategemea sana washauri ambao wengi si waaminifu, uzoefu umeonyesha.
  12. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    Nakazia, ccm na katiba yao wametupiga pakubwa mno!
  13. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Agiza unachopendelea hivi punde napita hapo kulipa! Mzee alikuwa ni mashine!.eti apande ndege akajadili mahindi kenya!!
  14. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Tumepigwa!
Back
Top Bottom