Recent content by AFYA ZAIDI CONSULTANTS

  1. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uvumilivu umenishinda, nimemaliza urafiki na kufuta kila kitu!

    😀😀😀😀 Hivi mtaenda VETA kweli na hizi heka heka zenu???
  2. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Kwanini iPhones zimekaa kishamba sana?

    Sizitaki mbichi hizi???
  3. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania KERO Trafiki Katushusha abiria kutoka kwenye Daladala pasipo kufuata utaratibu na kutuacha njiani

    Mulishalipa nauli na kupewa tiketi zinazoendana na daladala mliyopanda? Kama ni hivyo askari angetakiwa kuacha gari liwafikisheni safari zenu kisha lirudi kituoni; au apange na konda awarejeshee pesa yenu au kuwatafutia usafiri mwingine.
  4. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Huyu ndo shangazi sasa ......... Sio wale wezi wengine. Unajiita shangazi na wakati hauna shanga???
  5. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

    Mnalipiziana visasi, mnaumizana, mnatiana uchizi. Mkiwa na imani kwamba hospitali dawa zipo :(:(:(
  6. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnakera sana

    Dar kugumu sana ...... :D
  7. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Tafuta mbinu ukarudishe 75,000 yako. Jasho la Me haliendi kizembe.......
  8. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    TAI DUME wewe ni MultiTalented bro. Mwenyezimungu abariki kazi za mikono yako na akufanikishie mahitaji ya moyo wako. Amin......
  9. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi

    Kuna kazi za part time, project based. Kama zinakufaa cheki nasi kwa email: support@azc.co.tz
  10. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Ila mbona hakuna tatizo la kusolve hapo? 1. Wewe umetikisa kiberiti 2. Yeye kamwaga njiti Sikukuu zikiisha rudi kwake mwambie umemsamehe penzi lenu liendelee. Umeokoa pesa nyingi sana za sikukuu.....
  11. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kuweni waelewa

    Shida ni zile mbwembwe zenu za Disemba .....
  12. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kurithi na kuvaa nguo za marehemu?

    Iko sawa. Kijamii na kiimani. Pokea nguo kutoka kwa dada yako atapata amani. Na akiaga anakuja kukutembelea Basi mara moja moja valisha wanao.
  13. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Waumini wa KKKT Kijitonyama waanza kuulizwa namba za Bahasha za Sadaka mlangoni

    Mtu yeyote anaruhusiwa kuingia kanisani au msikitini bora yuko sawa tu. Mpagani, freemason, Sho*a, asiyejua kusoma wala kuandika, professor nk Wengine tushasali kanisani, msikitini, temple na ghetto kikubwa Mungu hana ubaguzi na kanisa au msikiti sio private property
  14. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

    Kwanza asijihusishe kabisa na mapenzi kabla ya kuolewa
  15. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya maisha ya sasa kufunga safari kwenda kumtembelea mtu kumeshapitwa na wakati. Tunatafutiana dhambi

    Mchele Tsh 4,000 sasa kwa kilo moja. Halafu kuna wageni wapendwa huwa wanakuja kama family, mtu na watoto wake wawili 🤣🤣🤣
Back
Top Bottom