Recent content by Afrocentric

  1. A

    Nimsaidie Rais hili jipu kwenye Ajira za Walimu

    daa! kweli mkuu hiyo kagango imejaza sana walimu wakike.
  2. A

    Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    Timiza ndoto yako kwa kusoma unachotaka, UOGA wako ndio UMASIKINI wako..
  3. A

    Magufuli ondoa bugudha ya kuchelewesha ajira za walimu

    kwa kifupi ni kwamba ajira za walimu zipo lakini mfumo wa kuajir lazima ubadilike kwa serikali ya awamu ya tano...jitahidini sana kujifunza namna ya kuandika APPLICATION LETTER pamoja na CV na jiandaeni kwa INTERVIEW watakaofanya vizur ndio watakao ajiriwa.
  4. A

    Magufuli ondoa bugudha ya kuchelewesha ajira za walimu

    ata kama ajira zikisitishwa, vyuo havitaacha kudahili wanafunzi katika fani ya ualimu kwa sababu ni fani kama fani nyingine tukumbuke pia kuwa wanafunz hawasomi bure na pia wanafunzi ndio wanaomba kupangwa vyuo flani.
  5. A

    Natamani nifanyiwe hivi??

    💑hayana college😁😁
  6. A

    Magufuli shughulikia haya kwenye elimu

    serikali iboreshe maslahi ya walimu na pia iwajengee nyumba nzuri za kuishi.
  7. A

    Magufuli shughulikia haya kwenye elimu

    ukifeli hesabu hamna kwenda kidato cha V, mfumo wa zamani katika kupanga matokeo urudishwe.
  8. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Biharamlo (Kagera)nije Mwanza, idara ya sekondari.
  9. A

    Naombeni ushauri kuhusu kozi za kusoma Chuo Kikuu

    mpeni ushauri acheni roho mbaya..
  10. A

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    kwa walimu mlopangwa mkoa wa kagera wilaya ya biharamulo tukutane apa tupeane mawili matatu.
  11. A

    Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    ajira za walimu kutolewa kwa walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.
  12. A

    Tamko la katibu mkuu tamisemi likua la kuondoa utata kweli?

    siku njema uonekana asubuhi...kama wangekua wanaweka hayo majina ingekua tiyar...
  13. A

    Walimu zaidi ya 10000 kukosa ajira

    acheni kuwa watu wakubashiri..!!
  14. A

    Hivi walimu tuna akili timamu kweli?

    big up broo....umenenaa.
  15. A

    Tuna vyuo vikuu bora, Kwanini tunashindwa kulimudu soko la Ajira?

    Siwezi kujilaumu au kuwalaumu wanafunzi wa Tanzania, Ila nailaumu serikali kwa kukumbatia mfumo huu wa elimu usioweza kumuandaa mtu kujiajiri na kujiamini..tatizo siyo lugha kuna watu wanajua kuongea kiingereza vizuri lakini ni waoga na bado wana fikra za kuajiriwaa. Pia unaposema tuna vyuo...
Back
Top Bottom