Recent content by AfriNet Core Tz

 1. A

  Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

  20' ni tofauti na 20
 2. A

  Nahitaji office space ya kushare

  Kuna frame Sinza Makaburini - Igesa Road, Karibu na Mwika Hotel Wasiliana nami kwa No. +255 713 741 758
 3. A

  Laptop imegoma kuwaka

  Fika AfriNet Core Tanzania kwa Tatizo lolote la Computer Kama upo Dar ea salaa TUPO: Sinza Makaburini 0713 741 758 info@afrinet.co.tz corneliousbk@gmail.com
 4. A

  Nahitaji kutengenezewa website

  AfriNet Core Tanzania ndiyo msaada wa tatizo lako. Tupo: Sinza Makaburini +255 713 741 758 corneliousbk@gmail.com
 5. A

  Nisaidieni jinsi ya kuanzisha jarida la jamii

  Am a Graphic Designer by Professional, na kuna mkono wangu Bab Kubwa Magazine. Pia nafahamu taratibu zote za kuanzisha jarida na all kinds of publication Materials kama Mabango makubwa ya Barabarani n.k. Si hivyo tu, pia nipo njiani kuachia Magazine yangu na tupo jikoni tunaandaa Magazine ya...
 6. A

  Jinsi ya kuanzisha jarida

 7. A

  Usipite bila kusoma hapa..! Ni muhimu kwako...

  Habari wana JF, Mimi ni Mjasiriamali mwenye umri wa 20' yrs. Nimesoma Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering, nimejiajiri kwenye industry ya IT. Nimefungua ofisi Sinza Makaburini mtaa wa sokoni. Ofisi imesajiliwa Brela na TRA, pia ofisi ina furniture (Meza za ofisi...
 8. A

  Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

  Asanteni sana wadau wote: JAPO Nimejifunza mengi sana kwa nini Vijana wahitimu tunalia AJIRA. Kusoma na kuhitimu ni jambo moja LAKINI Kujua nilichosoma na kukifanyia kazi ni jambo jingine. BADO NAHITAJI MTU ANAYEJUA...!
 9. A

  Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

  Habari wana JF, Mimi ni Mjasiriamali mwenye umri wa 20' yrs. Nimesoma Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering, nimejiajiri kwenye industry ya IT. Nimefungua ofisi Sinza Makaburini mtaa wa sokoni. Ofisi imesajiliwa Brela na TRA, pia ofisi ina furniture (Meza za ofisi...
 10. A

  Jinsi ya kuanzisha Magazine (Jarida)

  Tuwasiliane kwenye 0713 741 758/ 0755 257 508. Nina Idea kama iyo na tayari nimeshafanya hatua kadhaa muhimu. Karibu kwa ushirikiano ndugu.
 11. A

  Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

  #tm25 : Samahani ndugu, sababu za kumuhitaji mtu mwenye vigezo hivyo ni kwamba nime focus kwenye utendaji kazi zaidi katika kada hii ya IT. Wateja wa huduma zetu wanajali sana UBORA wa huduma. Ndiyo tunaanza, huenda mbeleni tukahitaji watu wa kada nyingine. Asante kwa kuonesha ushirikiano ndugu
 12. A

  Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

  #the-sniper : Thanks joh, Together WE CAN...
 13. A

  Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

  #Tamalisa : Samahani ndugu, anahitajika mtu mwenye vigezo vilivyoainishwa hapo juu. Asante kwa ushirikiano
 14. A

  Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

  Business is ON ndugu, ukiwa tayari kwa vigezo hivyo tuwasiliane tuone tunakutana wapi kwa mazungumzo zaidi...
 15. A

  Eneo la biashara linauzwa

  Banda la biashara, mnunuzi atakubaliana na mwenye ardhi jinsi ya kulipana. Sisi kwa mwezi tulikuwa tunamlipa elfu hamsini (tsh.50,000/-)
Top Bottom