Recent content by AFRIKAMOJA

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mfumo unaopendekezwa wa Bima ya Afya kwa Wote Haufai

    Shilingi 340,000/- kwa watu sita ni wastani wa kila mmoja kulipia 56,667 kwa mwaka. Je, bila bima ukiugua kiasi hiki kinakutosha kugharamia matibabu yako? Tuache siasa za umaarufu. Hiyo skimu ya 30,000/- kwa 20,000/- mifuko ya hifadhi mfano nssf kwa sekta isiyo rasmi ilikuwepo ila utekelezaji...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sophia Mjema, amesema CCM kitahakikisa huduma Bora kwa Wananchi zinaendelea

    Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Sophia Mjema, amesema Chama hicho kitahakikisha huduma Bora kwa Wananchi zinaendelea kutolewa katika Sekta ya Afya kuanzia Majengo kwenye Vituo vya Afya na Hospitali, kuboresha huduma ya mama na mtoto, Dawa pamoja na Vifaa tiba. Katibu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Serikali inachukua hatua stahiki kukabiliana na mfumuko wa bei za vyakula

    NI KUWEKEZA KWENYE UZALISHAJI PEKEE NDIO KUTATUTOA HAPA NA SERIKALI IMEJUA NA IMESHACHUKUA HATUA. Hali ya bei za vyakula kwenye masoko mbalimbali nchini bei inaonekana kuongezeka mara mbili mpaka tatu ya bei zilizozoeleka. Hali inayoibua manung'uniko kila kona ya Nchi yetu kuanzia wenye kipato...
  4. A

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu na TAMISEMI kuanzia leo Januari 20, 2023, kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM Imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania CCM ya sasa ni ya Kaskazini, Pwani na Unguja

    Siasa za ukanda na ubaguzi wa aina yeyote sio hulka wala utamaduni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)!
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Chuki na ubaguzi huna kingine
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Acha unafiki mamlaka wapi hahahahaha utakuja olewa
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Acha kulishwa matango pori nawe ukaleta humu. Pololeti sio Serengeti. Pili, hakuna ndege iliyotua popote kwenye mbuga zetu kwa huo uhuni unaoueleza, mwisho kwa ukubwa wa ndege hiyo haiwezi kutua kwenye maeneo hayo maana hakuna kiwanja cha ukubwa na vigezo vya kuipokea.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Upinzani mmepata mikutano ya hadhara msituangushe

    Hivi karibuni Rais wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa juu wa vyama 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu nchini alitangaza rasmi kuliondoa zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Ukweli ni kwamba kufanikisha au kufanya mikutano ya hadhara ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Shaka asema kazi ya kuleta maendeleo hapewi kila mtu

    ~Kishindo cha Shaka uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Amani ~Asema ni CCM ndiyo yenye uwezo wa kuleta maendeleo ya nchi ~Asisitiza kazi nzuri inayofanywa na Rais Mwinyi inaonekana CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wananchi katika Jimbo laAmani kumchagua mgombea wa wake kwa kuwa ndiye mwenye...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikataa ushikaji kazini, sasa unaligharimu taifa kila kitu kimekuwa kero hakuna wa kuamua

    Huo upigaji wote umefanyika alipokuwepo...2018/2019, 2019/2022, 2020/2021 ripoti zake hizo. Masuala ya tamroada kujenga viwanja vya ndege yeye, matumizi yaliyo nje ya bajeti iliyopitishwa yeye... kuvunja mkataba wa TANESCO na symbion jpm wako. Usitake kumtupia mama zigo hayo ni mambo ya hovyo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tangu Hayati Magufuli aondoke, mambo yamezidi kuwa mazuri

    * Aliondoka elimu bure mwisho Form 4 sasa elimu bure hadi Form 6 * Tangu atuage, kasi ya ujenzi wa Stiegler's gorge (JNHPP), SGR, Kigongo-Busisi na miradi mingine ya kimkakati imeongezeka * Tangu atutoke, makusanyo ya kodi yameongezeka, tena bila task force au kuzuia pesa za makampuni benki...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kipi Waasia na Waajemi wanapatia sisi tunakosea?

    Na Togolani Mavura Balozi wa Tanzania Korea Kusini. Ni kawaida siku hizi kupokea simu, meseji ama ugeni wa ndugu, jamaa na marafiki kukuuliza na kuomba kama unaweza kusaidia kupatikana kwa ajira kwa ajili ya kijana au binti yao ama kufuatwa na kijana au binti mwenyewe. Mara nyingi utaachiwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Kwa Awamu hii ya sita mambo ni tofauti Rais Samia Suluhu Hassan anajenga majengo, ananunua vifaa tiba na madawa pamoja na kuajiri wataalamu wa afya.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Aliyeihamishia serikali Dodoma ni Mwl Nyerere tusijisahaulishe
Back
Top Bottom